ibra87
R I P
- Jul 22, 2015
- 5,614
- 5,379
hisia ni kitu cha kulindwa kwa gharama ya aina yoyote ile.. Lakini kwa hili utakapoanza kujuta na kulizwa pls usije ukarudi mpendwa.January 2016, I mean this year.
hisia ni kitu cha kulindwa kwa gharama ya aina yoyote ile.. Lakini kwa hili utakapoanza kujuta na kulizwa pls usije ukarudi mpendwa.January 2016, I mean this year.
Ni kama kilimo cha mbogamboga kwaza unahitaji seedbed ili uoteshee mbegu halafu miche ikifikia umri fulan ndo inapandikiza kwenye bustani(garden). Sorry ila ni ushauri tu nimekupa mdogo wangu coz me npo kwenye ndoa zaid ya muongo mmoja.Kama kila mmoja ana a man I na mwenzie tusubiri miezi sita yanini?
vipi wewe bado huhitaji Mume?Hongera sana mungu awafanikishe malengo yenu jamani!!
Hah hahWoyooooooooo...! Kungwi nipo hapa
Asante kwa ushauri. Kwa bahati nzuri niliyempata namfahamu sana nimesoma nae chuo kimoja na kozi moja so I don't need to worry.Ni kama kilimo cha mbogamboga kwaza unahitaji seedbed ili uoteshee mbegu halafu miche ikifikia umri fulan ndo inapandikiza kwenye bustani(garden). Sorry ila ni ushauri tu nimekupa mdogo wangu coz me npo kwenye ndoa zaid ya muongo mmoja.
Sawa mkuu nimeacha kukariri, sasahivi nitakuwa nakremisha tuUsikariri mkuu, si lazima iwe kama unavyowaza
Ikiwezekana pia card ya mchango unipatie na nitachangiaHapo umenena kakola, asante sana.
Sawa Mkuu,All the BestYeah, I mean this year.