Nawashukuru wana JF: Siku ya harusi yangu

Nawashukuru wana JF: Siku ya harusi yangu

ule usemi wa kambi popote umepotea baada ya kuibuka huu wa ndoa popote...All the best.
hahahahaaaaaaaaaaaaaaaaa manuu jamani aisee kweli ndoa popote kwani unafikiri ndoa zinapatikana wapi mkuu
 
ongereni sanaaaaaaaa wanao kwambia ni haraka ni viraza hachana nao kaza but ndoa n mda wwte mnataka ncgunguzane ili iweje dsonga mama
 
Mmefanya haraka sana. Baada ya kujuana mngekaa japo kwa miezi sita then ndo mkaanza mipango ya ndoa. Kitu cha kudumu hakitaki papara

waache tu shetani asije ingilia, watu wamekaa miaka hadi yakugraduate PHD but hawajaoana what matters is seriousness yao
 
Habari zenu wanajamvi,

Napenda kuchukua nafasi hii kuwashukuru wanaJF wote, zaidi sana wale walijitokeza nilipotoa tangazo la kutafuta Mr. Right.

Napenda kuwataarifu kuwa tumeendelea na mikakati na taratibu za harusi na my Mr. Right ambaye nilimpata kupitia tangazo langu la mwezi Jan.2016,
binasi sikutarajia kama mambo yatakwenda kwa speed kubwa namna hii lakini ndivyo ilivyokuwa.

Taratibu zote zimekamilika na Jana tu ndo mahari yote imelipwa, kweli nina furaha na amani sana kwa hatua niliyofikia, namshukuru mchumba wangu kwa seriousness alionionesha.

Wandugu tarehe ya harusi imepangwa na Jumapili ya tarehe 6 march 2016 tangazo la kwanza la harusi yangu litatangazwa.

Tarehe ya harusi imeshapangwa na vikao vinaanza kesho, naomba tarehe nisiiweke wazi kwanza, nitaiweka wazi siku tatu kabla ya harusi. Asanteni
sana.

Wewe ambaye umetupia tangazo lako amini tu utampata unae mtaka.Usichoke wala kukata tamaa.
yaani ata siamini kama unaeza pata mwenza mtandaoni,,,,hogera kama ni kweli
 
yaani ata siamini kama unaeza pata mwenza mtandaoni,,,,hogera kama ni kweli
Tomaso hakuamini kuwa Yesu alifufuka...but kutokuamini kwake hakuku badiri ukweli Yesu alibaki kuwa amefufuka mpaka leo.
 
Hongera sana Monicca. Ingekuwa kuchunguzana kwa muda mrefu ndio kunakodumisha ndoa basi nyingi zingedumu na yangu ingekuwa imekufa. Ukimchunguza sana baya huwezi kumla. Kila la heri na ndoa yako idumu kwa uwezo wa Mungu.
 
Kuna siku uliweka thread hapa kuwa shemeji yetu alikuwa hakugegedi, je umefanikiwa kugegedwa?
 
Kuna siku uliweka thread hapa kuwa shemeji yetu alikuwa hakugegedi, je umefanikiwa kugegedwa?

Sidhani kama tayari, maana kwa hii spidi ya natafuta mchumba leo, kesho nimempata, kesho lutwa ndoa inatangazwa, mwanaume hataki kugegeda! Mmh!

Lazima kuna namna.
 
Mr right... Sound good... Usijerudi tu hapa baada ya siku mbili ukasema ndoa imekushinda
 
Dah ndiye huu ambae amesema msubiri hadi ndoa ndio mfanye tendo au yule uni mwingine?
 
Back
Top Bottom