Blaki Womani
JF-Expert Member
- Feb 28, 2011
- 11,228
- 13,448
Hongera ........mazuri/mabaya unabebana nayo
Hahah...hajafikia kua jipu labda kipele tuu...Mume wangu huyu ni jipu, yaani we acha tu, ila mimi na rubii hatidhuriani.
Hivi mume wako ni nani?Mume wangu huyu ni jipu, yaani we acha tu, ila mimi na rubii hatidhuriani.
Mmmmh!! Huyu ni wangu namjua mwenyeweHahah...hajafikia kua jipu labda kipele tuu...
Kizuri ni kwamba hua hasahau kusema kwamba ana mke humu!
[emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] khaaah sina mume usijeninyima kaka yako.Hivi mume wako ni nani?
Ninavokuogopa sasaMmmmh!! Huyu ni wangu namjua mwenyewe
[emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] khaaah sina mume usijeninyima kaka yako.
Kwamba ninakula watu?Ninavokuogopa sasa
Hushindwi kumtesa my kakaKwamba ninakula watu?
Kumnyima chakula?Hushindwi kumtesa my kaka
Tena ulivo mchoyo weweKumnyima chakula?
Kulikoni?Mke wangu anafukuzia Scholarship Ughaibuni, akiondoka tu navua pete natangaza kutafuta mke, faster faster naoa, natoa mahari yote, navuta kitu ndani.....
MUNGU akubariki sana
si unaona mambo yanavyokwenda faster faster hivyo?? Easy come.....just kiddingKulikoni?
Ningekuwa mchoyo ningekupa..........[emoji12] [emoji12]Tena ulivo mchoyo wewe
[emoji40] yaishe mamaNingekuwa mchoyo ningekupa..........[emoji12] [emoji12]