Mkuu, Jan 2016 hadi sasa si mwezi mmoja tu tangu mfahamiane? Amekuwa lini rafiki kabla hamjawa wachumba? Hudhani kuwa mmefanya haraka mno?January 2016, I mean this year.
Teh..Usije ukawa umemdanganya dada wa watu kwamba utamuoa wakati we una mke..
Huyo rubii umeshamshindwa kijana..
Omba tu nisimsimulie rubii jinsi ulivyoniomba nijitoe, tena eti nimwambie nimeshindwa nakuachia.
Ha ha haaaa Asante kwa tahadhari
Shikamoo KaboomKhaaaah...et babe Kaboom yana ukweli??
Hahah....huyu broo Kaboom ana mke na mtoto humu...
Khaaaah...et babe Kaboom yana ukweli??
Usiwe mvivu wa kusoma ktk kujibu maswali ya waliokutangulia nimeeleza kila kituMkuu, Jan 2016 hadi sasa si mwezi mmoja tu tangu mfahamiane? Amekuwa lini rafiki kabla hamjawa wachumba? Hudhani kuwa mmefanya haraka mno?
Anyway, kila lenye heri!!!
I see, ngoja nikuache ufurahie uchumba rafiki. Tualikane basi mpungani...Usiwe mvivu wa kusoma ktk kujibu maswali ya waliokutangulia nimeeleza kila kitu
Teh, naomba niwe bridesmaid, lolTeh jiandae yangu mwezi wa8
Hahahaa ni kwanini nilihisi huyo mr right ni wewe, habari kama hizi Dada ako nizijulie jeiefu kweliii....hebu jiteteeAsee.....ngoja Na mimi niandike tangazo!!!
Hongera classmate...!
tunashukuru kwa feedback. ila usisahau kurudi tena kutangaza best man wa harusiThank yoy
Kutoa nuksi ndiyo nini? Ndoa haijaribiwi ninachofanya nina uhakika nacho...isitoshe kuolewa na kuachwa si kutoa mikosa kwangu mimi nikongeza nuksi..I know what I do.Aisee,Dada mbona haraka huogopi wewe, hata dating miezi ya kwanza huwa mitamu mkizoeana mambo yatabadilika...unless unaolewa kutoa nuksi...all the best
Hahahaa ni kwanini nilihisi huyo mr right ni wewe, habari kama hizi Dada ako nizijulie jeiefu kweliii....hebu jitetee
Hilo umepata mama...Teh, naomba niwe bridesmaid, lol
kuolewa nako pia maamuzi magumu hayoKutoa nuksi ndiyo nini? Ndoa haijaribiwi ninachofanya nina uhakika nacho...isitoshe kuolewa na kuachwa si kutoa mikosa kwangu mimi nikongeza nuksi..I know what I do.
Hii kitu works kumbe 'love connect' Ndoa popote kwa kweli!ule usemi wa kambi popote umepotea baada ya kuibuka huu wa ndoa popote...All the best.