Nawapongeza Senegal kwa Kufuzu Hatua ya 16 bora Kombe la Dunia 2022

Mane hawez kucheza kabisa, pia usiwa underestimate Ecuador, kumbuka Senegal Haina kiungo mnyumbulifu hata mmoja ,wote wakabaji ,

Kesho Senegal asipopata matokeo ,usishangae akakukatana na mechi ngumu dhidi ya Ecuador ambaye atahitaji sare tu
 
Ni kweli mkuu mpira unadunda ila wale Ecuador wakikutana na ile Senegal inayokimbiza mpira dakika 90 sioni kama wataweza kuzuia kufungwa.

Wachezaji wao sijaona uspecial wowote hata sijui wamefuzu vipi halafu Chile akashindwa. Senegal akienda kucheza mpira wa kasi atashinda kirahisi.

Hata kama Senegal atafungwa kesho na Uholanzi bado ana mechi na qatar na Ecuador, lazima atafuzu.
 
Baada ya kuwaona Ecuador na Qatar wakicheza hivi leo, ninaona Senegal tayari ameshapata point sita kutoka hizi timu mbili.

Mane asihangaike na makundi, asubirie kupona vizuri ili acheze mechi ya mtoano. Ninaamini Senegal atapata sare na Uholanzi ambaye pia yupo kundi hilo.
Mpira una maajabu yake usikariri, Germany alifungwa na south Korea hakuna alie amini.
 
Ni kweli mkuu mpira unadunda ila wale Ecuador wakikutana na ile Senegal inayokimbiza mpira dakika 90 sioni kama wataweza kuzuia kufungwa.

Wachezaji wao sijaona uspecial wowote hata sijui wamefuzu vipi halafu Chile akashindwa. Senegal akienda kucheza mpira wa kasi atashinda kirahisi.

Hata kama Senegal atafungwa kesho na Uholanzi bado ana mechi na qatar na Ecuador, lazima atafuzu.
Hawa Ecuador usiwachukulie poa Kaka, naona ni kama waliamua kurelax baada ya kuona mpinzani wao ni dhaifu Sana, anyway in football anything can happen, ngoja tuone nini kitatokea Ila hata Mimi nawapa nafasi Senegal kufuzu, All the best to them..
 
Uholanzi sina mashaka, watafuzu kwenye makundi japo hawatavuka robo fainali. Kesho pia wanaweza kumfunga Senegal ila wao Senegal watafuzu kwa kuwafunga qatar na ecuador.
Tutajie timu zitakazo fika Robo fainali awo Senegal wako unaona wamaana unakumbuka mwaka 2018 kiliwatokea nin na unakumbuka walikua kundi moja na nani ok kama umesahau nakukmbusha Senegal alikua kundi moja na Japan ,Colombia,na Poland kaangalie marudio ya mechi ya Japan na Senegal kilichotokea utakuja mwenyewe apa kucha kuwapa sifa za kijinga jinga
 
Kundi gumu Ecuador kufika walipo sio Timu nyepesi wamemfunga Colombia 6
Hawajaruhusu goli kwanzia mwezi wa 6
Halafu hao uholanzi unawachukuliaje?
Watoto wa shule awa acha nao wazungu wezao hawatamani kuwa kundi moja na Netherlands wao wanakuja kuwaleta mzaza tu embu tuwakumbushe wakatazame marudio ya mechi ya 16 Bora mwaka 2014 kati ya Netherlands na mexico Kuna kitu watajifunza
 
Kundi gumu Ecuador kufika walipo sio Timu nyepesi wamemfunga Colombia 6
Hawajaruhusu goli kwanzia mwezi wa 6
Halafu hao uholanzi unawachukuliaje?
Sisemi Ecuador ni wabovu ila sikumbuki kamfunga lini colombia hizo 6 labda nyuma huko.
halafu hiyo miezi 6 ambayo hajaruhusu goli kacheza na timu ipi ambayo inaendana na rank yake au iliyo 20 bora.
 
Tutajie timu zitakazo fika Robo fainali awo Senegal wako unaona wamaana unakumbuka mwaka 2018 kiliwatokea nin na unakumbuka walikua kundi moja na nani ok kama umesahau nakukmbusha Senegal alikua kundi moja na Japan ,Colombia,na Poland kaangalie marudio ya mechi ya Japan na Senegal kilichotokea utakuja mwenyewe apa kucha kuwapa sifa za kijinga jinga
Senegal ilipotea tangu miaka ile ya 2002 imekuja kurudi mwaka juzi hapa hivyo usifananishe namna hiyo. Kwa sasa wanaweza kufika mbali sana ikiwemo kumfunga hata huyo Uholanzi kesho.
 
Nyinyi mnaongelea Ecuador? Mimi sitashangaa kama Quatar wakimfunga Senegal. Team za Africa bado sana kuzipa dhamana huko duniani.

Endeleeni kuendekeza mapenzi, Senegal atawavunja moyo mpaka muichukie Africa nzima!
Labda hujawahi kuwaona Senegal katika miaka ya karibuni. Ni timu iliyopikwa ikapikika. Anaweza hata kufika nusu fainali. Mpira mzuri sana wanaenda kuionesha dunia.

Kama atafungwa ilihali amepambana mimi sitakuwa na deni naye. Nitaumia iwapo atafungwa kwa uzembe na uvivu.
 
Baada ya kuwaona Ecuador na Qatar wakicheza hivi leo, ninaona Senegal tayari ameshapata point sita kutoka hizi timu mbili.

Mane asihangaike na makundi, asubirie kupona vizuri ili acheze mechi ya mtoano. Ninaamini Senegal atapata sare na Uholanzi ambaye pia yupo kundi hilo.
Kwa uholanzi labda sare ya shule
 
Baada ya kuwaona Ecuador na Qatar wakicheza hivi leo, ninaona Senegal tayari ameshapata point sita kutoka hizi timu mbili.

Mane asihangaike na makundi, asubirie kupona vizuri ili acheze mechi ya mtoano. Ninaamini Senegal atapata sare na Uholanzi ambaye pia yupo kundi hilo.
Hujui mupira
 
Back
Top Bottom