Naipongeza Argentina ya Lionel Messi kwa kufikia Nusu Fainali ya Kombe la Dunia 2022

Execute

JF-Expert Member
Sep 21, 2022
3,000
7,285
Baada ya kuingia 16 bora, atacheza na Australia halafu kwenye robo fainali atakutana na mshindi kati ya Uholanzi na Marekani.

Hapo Argentina wanawaza watakutana na nani kwenye nusu fainali maana hakuna timu yoyote ya kuwasumbua katika hizo tajwa hapo juu.

Kiutani namna hii Argentina anakwenda kubeba kombe la dunia 2022.

Rejea Nawapongeza Senegal kwa Kufuzu Hatua ya 16 bora Kombe la Dunia 2022
 
Baada ya kuingia 16 bora, atacheza na Australia halafu kwenye robo fainali atakutana na mshindi kati ya Uholanzi na Marekani.

Hapo Argentina wanawaza watakutana na nani kwenye nusu fainali maana hakuna timu yoyote ya kuwasumbua katika hizo tajwa hapo juu.

Kiutani namna hii Argentina anakwenda kubeba kombe la dunia 2022.
Haka ni kautabiri kadogo, na wote tuseme I RECEIVE PAPAA
 
Alipigwa na Saudi Arabia kwa hiyo sio rahisi kama unavyowaza.
WOZA 2010,mechi ya kwanza ya Spain alifungwa 0-1 na Switzerland lakini fainali ikawa kati ya Spain na Netherland,matokeo ikawa 1-0 Spain akatwaa ubingwa na kuwa nchi pekee iliyotwaa ubingwa wa Dunia katika ardhi ya bara la Afrika.

Sent from my TECNO B1f using JamiiForums mobile app
 
Kamuuliza Argentina alifanywa nin na ufaransa kombe la dunia 2018 pigwa goli 4 Kama wamesimama kudadekiii toka siku hio mess hakunyoa ndevu mpaka leo ....

Hao midebwedo Argentina wakikutana na ufaransa Tena watajuta kuzaliwa ....
 
Hapa umepotosha kwa makusudi maana matokeo yalikuwa 4-3. Huko sio kupigwa huku wamesimama.

Ufaransa ya sasa hivi ni nyepesi itafungwa hata 3-1 akikutana na Argentina labda nusu fainali huko.
 
Timu zinazoweza kumsumbua Argentina ni Spain, France na Brazil. Kwa zile za kupaki mabasi haipo ya kumpa shida labda ingekuwa ile Greece ya 2004.
ndio maana nakwambia hujui mpira
mpira umebadilika sana sio kama unavyofikiria
Kama haujui mimi ni shabiki wa Messi sana
ila ili uchukue ubìngwa unahitaji akina de paul wengi kuliko akina di maria na lautaro
watu wataokimbia dk 90 bila kuchoka bila kutegea
hao wabrazili wakikutana na timu iliyosetiwa vizuri hawatoki jino moja
kama uliwaona uswizi ilibidi watu wokoe jahazi kutoka nyuma
mchezaji bora kwa argentina muda huu ni de paul
 
Takwimu za kila mechi huyo de Paul ndio anaongoza kutoa pasi mbovu na kupoteza mipira.

Argentina walikuwa wavivu siku moja tu pale walipocheza na Saudi Arabia. Kwa sasa wamekuwa na timu inayokaba kwa pamoja na haraka.

Wasiwasi wangu upo pale watakapokutana na timu zinazokimbia sana au kupiga pasi nyingi.
 
Hahaha una risivu tuu bila kuona
Kwani hasara shingapi? Si kupanda mbegu tu? Napanda sitegemei kuvuna. Ni kama kulima Big G , siku mti ukiota unaenda kutoa ushuhuda, mtumeeee kuna miuujizaaa........ Nini kimetokea??? Nililima Big G zimeota, nitaleta mavuno kanisani, na malimbuko.
Mtume huku akiongea kwa sauti yake nzito;- piga makofi kwa BWANA
 
Back
Top Bottom