Kombe la Dunia 2022: Senegal yafuzu kuingia Hatua ya 16 Bora

JanguKamaJangu

JF-Expert Member
Feb 7, 2022
2,309
5,464
Senegal.jpg
Ushindi wa magoli 2-1 umeifanya timu hiyo kuwa ya kwanza kutoka Afrika kusonga mbele katika michuano ya 2022 baada ya kuifunga #Ecuador katika Kundi A.

Magoli ya Senegal yamefungwa na Ismaila Sarr na Kalidou Koulibaly, hivyo kuungana na Uholanzi iliyoifunga Qatar magoli 2-0.

Mechi za Kundi hilo zimemalizika Uholanzi ikiwa na pointi (7), Senegal (6), Ecuador (4) na wenyeji Qatar (0)
 
Back
Top Bottom