Nawamisi sana Twanga Pepeta, wako wapi?

Nawamisi sana Twanga Pepeta, wako wapi?

"Amigolas baba na Sofii"na Abuu Semuhando/baba Diana,"hawa jamaa nilisikia R.I.P ila sina hakika lakini.
 
Mzee wa farasi anapiga shows kwenye bar mbalimbali!

Nilimkuta kwenye bar moja pale msamvu October mwaka jana kama sijasahau, pamoja na unene lakini bado yuko fit kwenye pumzi!!
 
Niliwakuta Bar moja M/Nyamala. Aisee hapana.
 
Mbona wapo na kila weekend wanapiga show...zama zao zilishaisha
 
Ijumaa nenda mawasiliano park utawaona bado wanaamsha mbona.
 
"Amigolas baba na Sofii"na Abuu Semuhando/baba Diana,"hawa jamaa nilisikia R.I.P ila sina hakika lakini.
Semhando alikufa kifo kibaya sana tena sana. Karma ipo maana walisema yeye ndie alimuondoa Chiriku Maneti duniani kwa ulozi. Amigolas miwaya.
 
Habari ya mujini Msondo raha ,msondo starehe , msondo maziwaaaaaa.
Omari niachie mimi kidogo tu. Yusuph kahungu. Daah nimetoroka sana CBE nikawa naenda kuyarudi magoma kitakita Amani. Nyuchi nyuchi zimepukutisha sana hawa jamaa.
 
Omari niachie mimi kidogo tu. Yusuph kahungu. Daah nimetoroka sana CBE nikawa naenda kuyarudi magoma kitakita Amani. Nyuchi nyuchi zimepukutisha sana hawa jamaa.
Watu walipiga peku?
 
Zile zama hazitakaa zirudi..muziki wa dansi ulikua kwenye peak! Walivuna pesa haswa..twanga pepeta,double m,mchinga sound.tot plus..yaani ilikua show show..hata hivyo thanks kwa teknolojia bado tunasikiliza miziki yao kama vile imetoka jana.
 
daah zamani ilikua nzuri sana burudani kila kona huku choki,kule banza stoni pale mwijuma muumini etc
 
Semhando alikufa kifo kibaya sana tena sana. Karma ipo maana walisema yeye ndie alimuondoa Chiriku Maneti duniani kwa ulozi. Amigolas miwaya.
Una uhakika na hayo unayo yasema,au mdomo ni nyumba ya maneno?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom