Nawachukia wanaume

Nawachukia wanaume

Inakuaje mwanaume unamuheshimu, unampenda,unamthamini unamjali na hajawahi kukuta na mwanaume tofauti wala sms kwenye simu yako lakini unakuja kugundua anakucheat i think kuna baathi ya wanaume wanamapepo ya ngono hawalizikagi jitu linaumri wa kufanya mandeleo lenyewe linapata mda wa kumtongoza mtu mxxuuii.

Jamani kuna wakati wanatulaum wanawake lakini jamani kuna wanaume vimeo sijawahi kuona duuh!

Usichukie wanaume,mchukie x-boyfriend wako.

Anyway,pole kwa yaliyokukuta
 
Inakuaje mwanaume unamuheshimu, unampenda,unamthamini unamjali na hajawahi kukuta na mwanaume tofauti wala sms kwenye simu yako lakini unakuja kugundua anakucheat i think kuna baathi ya wanaume wanamapepo ya ngono hawalizikagi jitu linaumri wa kufanya mandeleo lenyewe linapata mda wa kumtongoza mtu mxxuuii.

Jamani kuna wakati wanatulaum wanawake lakini jamani kuna wanaume vimeo sijawahi kuona duuh!
Dada umeongea kwa hisia! Ila siyo wote tupo hivyo. Tatizo na wale wanaochepuka wanachepuka na wake za watu. Vipi hapo napo unasemaje unawachukia wanawake?
 
Dada umeongea kwa hisia! Ila siyo wote tupo hivyo. Tatizo na wale wanaochepuka wanachepuka na wake za watu. Vipi hapo napo unasemaje unawachukia wanawake?
kwani anaye chepuka na wake za watu yeye ni mwanaume au mwanamke?mmi nmesema wotee anajijua anatabia ya kutojielewa badala akae chin ajifikilie family yake ataisaidia vipi kwa umri alio nao lakin yeye anawaza kutongoza wanawake na kuwa danganya?!!!!!mxuiiii
 
Inakuaje mwanaume unamuheshimu, unampenda,unamthamini unamjali na hajawahi kukuta na mwanaume tofauti wala sms kwenye simu yako lakini unakuja kugundua anakucheat i think kuna baathi ya wanaume wanamapepo ya ngono hawalizikagi jitu linaumri wa kufanya mandeleo lenyewe linapata mda wa kumtongoza mtu mxxuuii.

Jamani kuna wakati wanatulaum wanawake lakini jamani kuna wanaume vimeo sijawahi kuona duuh!

Kiiibooo si utembee mbelee. Mwanaume pekee ni YESU ndio asiyebadilikaa. Hata baba yako mama kamvumilia na wewe vumilia kama wamtaka huyo... alafu Shida yakoo unangangania mwanaume na kumuabudu... aiseee mwanaume ni pesaa yakoo huyo wa mwenzako ndio hivyo. Jitambue na somo la uraia likuingie 25 oct tukutane kituoni na uje na pen yako ya kuweka alama ya V kwa Lowasa na Ukawa wootee.
 
Dadangu hata wenye magari hupanda daladala. Pole kwa msiba
 
Wapo wanaume wanaobadilika na kusahau kilichofanya wakubaliwe lile ombi la 'will you marry me'.

Lakini ni mara chache sana kusikia mwanamke amechepuka. Kwamba wao hawaumii? Tatizo la wanaume huwa mnatafuta namna ya Ku justify makosa yenu,na moja moja mnapeleka lawama kwa wanawake.

Mmh weeeeee!!!
 
Pole sana mrembo....

Ipo siku utampata mr Right utasahau yoote...

Kuna mengi sana umeshauriwa kimsingi ujiangalie nawewe pia kama una mapungufu jitahidi uyarekebishe kwa upande wako ikiwemo mambo ya sita kwa sita, usafi, ukaribu wa mpenz wako, kumjali... dada jitahid si unajua wanaume tunajisahau mnoo..hasa tukipata anae tupenda....

Kama ulikuwa na malengo nayeye usikubali yapotee kirahisi..yeye kukucheat usisababishe ukamshushaa hadhi kaa nae chini, muulize amekosa nini kwako? Unatatizo lipi? Muulize kwa upole atakuelewa..pia mueleze kwamba hufurahishwi na hiyo tabia

Kuchepuka kwa mwanaume huwa ni tamaa zaid kuliko mapunguf ya mwanamke,

Kuwa makini dada, hilo ni swala dogo linarekebishika..

You nailed it all
 
Nilipause kidogo ili niactivate mood ya kuandika gazeti teh. Here we go....

Kuna several reasons to why men/ people cheat.

1. Emotional dissatisfaction na sio sexual dissatisfaction. Kuna connection inakuwepo kati ya mume na mke. Urafiki, masikilizano, maelewano etc. Kukiwa na emotional distance kati ya wanandoa, mwingine ataopt kucheat

2. Immaturity; kuna mtu anacheat kwa sababu anajua hata nikicheat yule mjinga hatojua. So anakitembeza tu

3. Insecurity; kuna watu hawajaamini maybe anajiona hakubaliki kutokana na hali fulani, ( anajiona mbaya, minene sana, mwembamba sana, mfupi sana etc. So anajaribu kwenda nje ili kuboost confidence yake.

4. Stress; yani kuna watu wakiwa na stress atalewa weee, mwingine atatafuta mchepuko nje. Sasa sijui kama akimaliza kusex stress zake zinakuwa zimeisha au vipi

5. Unmet expectations. Wanaume mnakuwaga na expectations kubwa mno especially kwenye tendo la ndoa. Huwa nawasoma tu humu " anipe sex whenever I want bila kuwa na excuse yeyote. Lakini mnasahau kuwa kuna muda mwanamke anachanganywa na mambo mengi, watoto, kazi, nyumba, wewe mwenyewe, etc. Hivyo inawezekaga asikupe sex as you wish. Basi ndo mnapata sababu ya kuchepuka.

6. "Trying varieties". Kuna watu huwa ni chovya chovya tu. Kutulia na mkewe ni future impossible tense.

7. He is traumatized. Mfano alikuwa sexually abused, alikataliwa huko mwanzoni, aliumizwa wee. Mume wa hivi kama hajatibiwa akapona majeraha yake basi hakawii kucheat as anaona ni one of the solutions za kukimbia "his past"

8. No fear of God; kuna wanaume wana matatizo kwenye ndoa zao hadi unatamani kuwatafutia michepuko. But hata siku moja hakubali kucheat, kwa sababu ana hofu ya Mungu ndani yake. Unamkuta anaishia tu kwenye maombi ili aponye ndoa yake. Sasa wale wenzangu, sababu ya kucheat hana na hana hofu ya Mungu... do u expect atamuhofia mkewe pyeeeee

*Hope hadi hapo umeona kuwa kuna mahali mwanamke hayupo responsible kabisa na mumewe kucheat. Halafu niwaulize hivi hao michepuko ndo malaika sana, kwamba wao ni tofauti na wake zenu au? Mbona yanawashindaga, mnarudigi kwa wake zenu vijuso vimewashuka, mmepauka but still mnapokelewa.

Kabla hujaanza kucheat, muwe mnaangalia hatima ya kuchepuka kwenu. Hao wake zenu mnaoona hawawatoshelezi ndo hao hao wanawapokeaga tena baada ya michepuko kuwachuna na kuwachoka au muumwe muda mrefu muone kama michepuko huwa wana muda wa kuuguza mtu.

Heshimuni wake zenu, kama ambavyo maisha hawajawahi kuwa perfect, ndivyo hivyo hivyo na mahusiano hayawezi kuwa perfect. Bebeaneni mapungufu yenu, na muenjoy mahusiano yenu.

Hili kweli ni Gazeti.. lakini kiasi flani umejitahidi kutetea Unachokiamini lakini ukweli unabaki pale pale kwamba Bila kufuata misingi bora ya mahusiano na kanuni halisi za Mapenzi basi usitegemee kuwepo kwa Amani na uaminifu katika Mahusiano. Tukubali tukatae Hata nyie mmekuwa Sababu ya Waume zenu kuchepuka
 
Back
Top Bottom