Nawachukia wanaume

Nawachukia wanaume

Mie kamwe siwezi kukufanyia hivyo eli and you know that, kukuona tu huwa nalowa jasho, huo ujasiri wa kusepa nitautoa wapi kwamfano??
mmmmmmmmmh! am speechless

cc: atoto
 
Last edited by a moderator:
Inakuaje mwanaume unamuheshimu, unampenda,unamthamini unamjali na hajawahi kukuta na mwanaume tofauti wala sms kwenye simu yako lakini unakuja kugundua anakucheat i think kuna baathi ya wanaume wanamapepo ya ngono hawalizikagi jitu linaumri wa kufanya mandeleo lenyewe linapata mda wa kumtongoza mtu mxxuuii.

Jamani kuna wakati wanatulaum wanawake lakini jamani kuna wanaume vimeo sijawahi kuona duuh!

hahaha pole sana unajiumiza bure embu jifunze psychology af kingine hujitambui na hiyo kauli...kama nachukia wanaume...pamojana nachukiawanawake hizi ni kauli za watu desperate na walioathirika tu kimawazo ila ni invalid unles uwe msagaji au ni temporay pain tu hiyo..ukokwenye emotional pain
 
Nimefurahi kusikia nanyi mmegundua source ni kukosa hofu ya Mungu. Ni wachache sana wananielewaga ninapoitaja hii factor kama the one and the only one. Nahisi ni vile wengi ni wapagani au ni 'wahudhuriaji' tu kanisani/msikitini so they don't realize the power of faith.

Sema sasa tatizo lenu kubwa hamnaga kigezo cha ucha mungu when you are hunting for mr right, wengi wenu mnawaona wacha Mungu kama washamba fulani hivi, unexposed and unworth of credit. Matokeo yake mnaangalia factors nyingine hasa pochi, elimu, HB, status, job etc. Mgekuwa mnaweka ucha Mungu kama kigezo number one, mngeepuka wanaume wachepukaji.

Niliwaiga kuandika huku ndani kuwa hakuna mwanaume rijali, mwenye uchumi wake asiyechepuka ikiwa hana hofu ya Mungu. Sema baadhi wanajitahidi tu kuficha wake zao wasijue, so yuko radhi aingie gharama akafanyie huko mbali mkewe asijue. Angalau wa hivi ni mtaarabu.

Ukiona mwanaume rijali hana hofu ya Mungu halafu ametulia tu, ujue hajapata financial muscles. Akizipata ndo utamjua vizuri. Kifupi bila hofu ya Mungu no way mwanaume rijali, mwenye uchumi wake atashinda tamaa za kuchovya chovya
Yani my kaka kama sijakuelewa leo basi sitokuelewa tena. You have nailed it, yani umeongea kwa hekima mno.

Wadada tunastick kwenye mionekano+ wallets za wakaka. While na wao wanaangalia zaidi our "beauty". Hatuinvest mahusiano yetu kwenye attributes zitakazozipa mahusiano yetu "long term stability". Tunaongozwa na tamaa zaidi na ndiyo maana mahusiano mengi hayaendelei kokote.

Wanaume wengi wanaoa bado wakiwa na maisha ya kawaida, not at the peak of their successes. Na kwa sababu hiyo wengi kabla hawajafanikiwa wanakuwa Wanajitahidi sana kubehave, yani utasema Mungu kanipendelea (ingawa kuna wengine pamoja na kuwa wamefulia ni wanapanga michepuko hadi unashindwa kuelewa itakuwaje siku wakipata hizo hela). Na Wanajitahidi sana kucontrol tamaa zao maana anajua hata nikichepuka hela ya kuhonga utata.

Inafika muda kaka anaona ngoja niwe na familia now, so anamuoa mdada sio kwa sababu ndo anaona "she is the best" kwake, but kwa sababu she is only what he can afford to have for now. Sasa akipata tu pesa, ndo unaanza kusikia kejeli " ooh sio hadhi yangu", mara siwezi kutoka naye na marafiki zangu, kanenepeana sana etc. Hela zinamchanganya anaanza kuona bongo movie ndo hadhi yake.

Kwa hiyo honestly me siwezi hata kumshangaa mdada anayesema hawezi kudate mwanaume asiye na hela ( ingawa wengine inakuwa tu kwa tamaa zao binafsi). Maana mtu anaona bora niwe na huyu mwenye vijicent kidogo hata vikiongezeka havitamchanganya sana. Wanaume wengi wanabadilika sana wakishapata hela. "Pata hela tujue tabia yako". Ulimbukeni na dharau zinawajaa.

But tunaomba sana Mungu akikupa mume, akupe Mungu mwenye hofu yake na anayejitambua. Awe kwenye peak, awe kwenye crisis still atabaki kuwa the man you fell in love and married miaka hiyo. Na tunaomba pia pamoja na yote tunayoyapitia mikononi mwa wanaume, yasibadilishe utu wetu tukawa watu wa hovyo ( we shouldn't change our values). "A fool gives full vent to his anger. But a man of understanding controls himself........ Don't let bitterness weakens your life.

C.c atoto
 
Last edited by a moderator:
Kaka yangu mito, hebu pesa iweke pembeni kwanza, maana hata mcha Mungu atakiwa kutoa sadaka which isnt water.

Kuchepuka ni maamuzi kama yalivyo maamuzi mengine tu, hivyo kama ambavyo huwa tunamuomba Mungu ktk kutuongoza kufanya maamuzi yaliyosahihi ndivyo twapaswa kumshirikisha ktk hili pia, ila hilo halitowezekana kama tu hauna hofu ya Mungu ndani yako.

Kwenye uwepo wa Mungu kuna upendo, hivyo upendo hushinda vyote, kigezo kikuu cha kwanza cha mtu yeyote yule atafutae mwenza kinatakiwa kiwe "mwenye hofu ya kweli ya Mungu"
Sasa dunia imepangaranyika sasahivi hataa huyo aliyetupa huu uhai na vyote tunavyoringia tumemfanya mshkaji tuuu, sie ndio wajuvi wa yote, na ndio maana we are suffering the concequences
.

Hapo kwa red I concur with U sista
 
Yani my kaka kama sijakuelewa leo basi sitokuelewa tena. You have nailed it, yani umeongea kwa hekima mno.

Wadada tunastick kwenye mionekano+ wallets za wakaka. While na wao wanaangalia zaidi our "beauty". Hatuinvest mahusiano yetu kwenye attributes zitakazozipa mahusiano yetu "long term stability". Tunaongozwa na tamaa zaidi na ndiyo maana mahusiano mengi hayaendelei kokote.

Wanaume wengi wanaoa bado wakiwa na maisha ya kawaida, not at the peak of their successes. Na kwa sababu hiyo wengi kabla hawajafanikiwa wanakuwa Wanajitahidi sana kubehave, yani utasema Mungu kanipendelea (ingawa kuna wengine pamoja na kuwa wamefulia ni wanapanga michepuko hadi unashindwa kuelewa itakuwaje siku wakipata hizo hela). Na Wanajitahidi sana kucontrol tamaa zao maana anajua hata nikichepuka hela ya kuhonga utata.

Inafika muda kaka anaona ngoja niwe na familia now, so anamuoa mdada sio kwa sababu ndo anaona "she is the best" kwake, but kwa sababu she is only what he can afford to have for now. Sasa akipata tu pesa, ndo unaanza kusikia kejeli " ooh sio hadhi yangu", mara siwezi kutoka naye na marafiki zangu, kanenepeana sana etc. Hela zinamchanganya anaanza kuona bongo movie ndo hadhi yake.

Kwa hiyo honestly me siwezi hata kumshangaa mdada anayesema hawezi kudate mwanaume asiye na hela ( ingawa wengine inakuwa tu kwa tamaa zao binafsi). Maana mtu anaona bora niwe na huyu mwenye vijicent kidogo hata vikiongezeka havitamchanganya sana. Wanaume wengi wanabadilika sana wakishapata hela. "Pata hela tujue tabia yako". Ulimbukeni na dharau zinawajaa.

But tunaomba sana Mungu akikupa mume, akupe Mungu mwenye hofu yake na anayejitambua. Awe kwenye peak, awe kwenye crisis still atabaki kuwa the man you fell in love and married miaka hiyo. Na tunaomba pia pamoja na yote tunayoyapitia mikononi mwa wanaume, yasibadilishe utu wetu tukawa watu wa hovyo ( we shouldn't change our values). "A fool gives full vent to his anger. But a man of understanding controls himself........ Don't let bitterness weakens your life.

C.c atoto

Your are right Heaven Sent, mwenye nia ya kuelewa atakuwa amenufaika na hiki ulichoandika, sina cha kuongezea coz you have said it all. Hope you will get the best coz you know all these issues.

Ila the bottomline, achaneni na dhana ya kudate na unayempenda wewe, date na anayekupenda wewe ilihali ana 50% tu ya vigezo vyako unavyopenda. This is another tip apart from being God fearing man. Hii dhana ya 'huyu ndio chaguo langu nimempenda' mmeifosi na inawacost sana wanawake. Kifupi it does not work for you ladies. Hata kwenye biblia haimo, hata zamani haikuwepo. Mmeishadadia tu from western countries sababu ya haki za binadamu, ila inawaliza kweli kweli, sema hamjagundua tu!! Hapa lazima sista atoto atakuwa na cho chote cha kusema, so ngoja niishie tu hapa kwa sasa akuje.
 
Kazi ya moyo wa mwanamke ni kusukuma damu tu, kupenda ni kiherehere tuuu.
 
Last edited by a moderator:
Siioni hiyo read mwenzio

Pole, hii hapa nimekukopia sasa

......kigezo kikuu cha kwanza cha mtu yeyote yule atafutae mwenza kinatakiwa kiwe "mwenye hofu ya kweli ya Mungu"
Sasa dunia imepangaranyika sasahivi hataa huyo aliyetupa huu uhai na vyote tunavyoringia tumemfanya mshkaji tuuu, sie ndio wajuvi wa yote, na ndio maana we are suffering the concequences.
 
Your are right Heaven Sent, mwenye nia ya kuelewa atakuwa amenufaika na hiki ulichoandika, sina cha kuongezea coz you have said it all. Hope you will get the best coz you know all these issues.

Ila the bottomline, achaneni na dhana ya kudate na unayempenda wewe, date na anayekupenda wewe ilihali ana 50% tu ya vigezo vyako unavyopenda. This is another tip apart from being God fearing man. Hii dhana ya 'huyu ndio chaguo langu nimempenda' mmeifosi na inawacost sana wanawake. Kifupi it does not work for you ladies. Hata kwenye biblia haimo, hata zamani haikuwepo. Mmeishadadia tu from western countries sababu ya haki za binadamu, ila inawaliza kweli kweli, sema hamjagundua tu!! Hapa lazima sista atoto atakuwa na cho chote cha kusema, so ngoja niishie tu hapa kwa sasa akuje.
Uuuh thanks much broo.. "well noted"
 
Last edited by a moderator:
Pole, hii hapa nimekukopia sasa

......kigezo kikuu cha kwanza cha mtu yeyote yule atafutae mwenza kinatakiwa kiwe "mwenye hofu ya kweli ya Mungu"
Sasa dunia imepangaranyika sasahivi hataa huyo aliyetupa huu uhai na vyote tunavyoringia tumemfanya mshkaji tuuu, sie ndio wajuvi wa yote, na ndio maana we are suffering the concequences.

Ooooh!! Okey, hapo sawa, hicho ndicho cha kwanza then mengine yale ya muhimu yafuate.

Alafu eti now ndio meiona red
 
hahaha pole sana unajiumiza bure embu jifunze psychology af kingine hujitambui na hiyo kauli...kama nachukia wanaume...pamojana nachukiawanawake hizi ni kauli za watu desperate na walioathirika tu kimawazo ila ni invalid unles uwe msagaji au ni temporay pain tu hiyo..ukokwenye emotional pain
hongera wew unaejitambua ila naamini unasema hujui unachokisema mwinzio akinyolewa tia maji pia nahis bado mtot haujajua nni maan ya mapenz au nini maan ya ndoa
 
Back
Top Bottom