Nawachukia wanaume

Nawachukia wanaume

Pole sana. UKitakata mwanaume asitamani nje labda uwavishe wanawake wote mashuka au ma- baibui. Maanake mtaani, barabarani, maofisini kwenye mikusanyiko wanawake wapo waziwazi wakijirahisha bila woga, hata akiambiwa ni mume wa mtu yeye anaona poa tu, ili mradi atimize anachotaka.
 
if you want your own husband &honest &truthful find a dog

Mkuu, a dog is among the most promiscuous animal. Aki sense ile harufu kwa jike akaenda kilometres kibao kufuatilia.
Huyo dada labda aumbe mwanaume wa kwake. Lakini katika hali ya kawaida anatafuta sindano baharini.
 
Ukisema unawachukia wanaume hata baba yako utakuwa unamchukia
 
Dada yaweza kuwa kweli ulionewa.Lkn jichunguze vzr ulijikwaa wapi.Maana nyie dada zetu mkishaingia kwenye ndoa waume zenu mnawageuza kaka zenu.Mnasahau kuwa ni waume zenu.Utakuta kilw alichokupendea baada ya kuolewa ulibadlisha kila kitu.Na ile ladha ya pnz alilolifuata inaisha anaishia kuchepuka au kuna mabadiliko umekuwa nayi ghafla mwenzio akashindwa kustahamili akaona uamuzi ndo huo.Pili angalia kauli zako kwake kabla hamjaoana na baada ya kuoana.Na wengine mnapenda kukimbilia madawa ambayo madhara yake ni makubwa sana.Pole kwa yaliokukuta lkn jitafakari kwanza.
 
Wapo wanaume wanaobadilika na kusahau kilichofanya wakubaliwe lile ombi la 'will you marry me'.

Lakini ni mara chache sana kusikia mwanamke amechepuka. Kwamba wao hawaumii? Tatizo la wanaume huwa mnatafuta namna ya Ku justify makosa yenu,na moja moja mnapeleka lawama kwa wanawake.
 
Dawa ya moto ni moto kama anavua boxa na wewe kavuliwe chupi,kwani alikukuta bikra?
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom