Nawachukia wanaume

Nawachukia wanaume

Pole,but kama kwel unahitaji upate ufumbuzi ili isiwe tatizo kwako,jichunguze kwanza wewe mwenyew,kitaalamu tunasema tumia internal locus of control kwenye maisha na matatizo yako,tafuta namna mtu asipate wazo la kutoka nje ya mahusiano,kwan wao wana nn ambacho we huna? Kwann alianza nawe sasa yupo kule? Any way take it,mwanaume ni kama mtoto unapomzuia asichezee hiki hakikisha umempa mbadala wa kuchezea!

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums

Mbwa ni mbwa tu, huwezi kumzuia mbwa kuwaza mifupa! ! Kwa maana kwa mtu malaya ni hulka yake hata apewe nini atajifutia sababu ya kuchepuka.
Kosa ni kuwaona wanaume kwamba ni watu wa maana mno kuliko wewe mwenyewe. Jipende usimwache mtu akakufanyisha vitu ukavuka mipaka eti ili asichepuke.
 
pole sana, usemalo lina ukweli, hasa kama mtu wako alisoma shule za mission....! au hata boarding. anakuwa hakutumia ujana vzr, na akaoa mapema , basi tongotongo zikimtoka na kuanza kuonja huyo hanaga brek, muombee dua MUNGU ATAKUSIKIA.
inakuaje mwanaume unamuheshimu, unampenda,unamthamini unamjali na hajawahi kukuta na mwanaume tofauti wala sms kwenye cm yako lakin unakuja kugundua anakucheat i think kuna baathi ya wanaume wanamapepo ya ngono hawalizikagi jitu linaumri wa kufanya mandeleo lenyewe linapata mda wa kumtongoza mtu mxxuuii...jamn kuna wakati wanatulaum wanawake lakin jmn kuna wanaume vimeo cjawahi kuona duuh
 
Yameisha mpenz maana hata yasipoisha kukuacha siwezi

hahaha nimecheka vibaya sana, yaani akaunti iko hacked kuna mtu ameandika. then baadae umeninukuu vibaya, nani aliye andika sasa aliye hack au subai
 
Nisaidie kushangaa ha ha haaa eti mapenzi upofu hamna namna... anidanganye tuu maana ukweli utaniumiza..
 
wanakera mtu unampenda then anakua kimeo alaf yy ukimchit anakuja juuu khaaaa
 
Mbwa ni mbwa tu, huwezi kumzuia mbwa kuwaza mifupa! ! Kwa maana kwa mtu malaya ni hulka yake hata apewe nini atajifutia sababu ya kuchepuka.
Kosa ni kuwaona wanaume kwamba ni watu wa maana mno kuliko wewe mwenyewe. Jipende usimwache mtu akakufanyisha vitu ukavuka mipaka eti ili asichepuke.
Tena mbwa haswa hawafai kutetemekewa unaweza jikuta ukimwabudu yeye badala mola wako
 
wanakera mtu unampenda then anakua kimeo alaf yy ukimchit anakuja juuu khaaaa
kabisaaa wangu kitu nilicho gundua asilimia kubwa wanaume weng ndio wanafanya wanawake kubadilika tabia zoa among of them wao ndo source ya sisi kuchange
 
usijali dada nunua dildo
 
Tena mbwa haswa hawafai kutetemekewa unaweza jikuta ukimwabudu yeye badala mola wako
kabisaaa yaan naongana na nyinyi pia nashukuruni kabisaa nmejifunza vitu vingi kupitia fj kiukweli wanaume huwa wanatulalamikia sisi kwamba hatujatulia ila wao ndo wanatupelekea sisi kufanya umalaya kwa mtindo huu utaachaje kwa mfano unaweza msamehe ila anatakiwa ajijue tu hayupo pekee ake mbwaaaaa kabisa wenye tabia kama hizi
 
wanakera mtu unampenda then anakua kimeo alaf yy ukimchit anakuja juuu khaaaa
yaaan we acha tu ila naimani wao ndo wanatupelekea kuwa malaya ndo nilicho gundua jitu cjui linataka ulifanyie nini? mbwaaaa kabisaa
 
Pole kwa yaliyokukuta, kuwachukia wanaume sio suluhisho la tatizo......huna sababu ya kuwachukia, cha muhimu ni jifunze namna ya kukabiliana nao, maana wao wamekuwepo na wataendelea kuwepo bila kujali kwamba ni wazuri au wabaya, na pia wao ni sehemu ya maisha yako ya kila siku. Ukitafakari kwa kina utagundua kwamba huenda tatizo sio huyo mwanaume au wanaume kwa ujumla, bali ni namna wewe ulivyoweka matarajio yako kwake, unataka awe unavyotaka wewe. Mwanaume huyohuyo ambaye wewe unajiandaa kumchukia, kuna mahali anatakiwa sana, anapendwa sana, jiulize hii ina maana gani, jiulize wapi mnapopishana. Kilichopo ni kwamba matarajio na mitazamo yako na ya kwake imetofautiana, hivyo usijiumize bure, kaa chini jipange, jitambue unataka nini maishani, unataka nini kwa mwanaume. Ishi ndani ya misitari na misimamo inayoendana na wewe, usiishi kwasababu mwanaume anataka, asiyetaka kuendana na wewe mwambie samahani huo ndio msimamo wangu, haya ndio matakwa yangu. Kuna mahali hivi sasa kuna mwanaume anatafuta na anatamani sana kuwa na mwanamke mwenye sifa, matarajio na mitazamo kama yako. We ni kusonga mbele tu atakuja mwingine mtakalingana matarajio na mitazamo yenu na utaishi kwa amani, upendo na furaha, ila USIWACHUKIE WANAUME
 
pole sana, usemalo lina ukweli, hasa kama mtu wako alisoma shule za mission....! au hata boarding. anakuwa hakutumia ujana vzr, na akaoa mapema , basi tongotongo zikimtoka na kuanza kuonja huyo hanaga brek, muombee dua MUNGU ATAKUSIKIA.
hahahhhahahahah ni bora hata angesoma boarding or mission angalau ningesema sio makosa yake lakin kasoma shule ya kajampa nani kama mapenz alianza yupo shule ya msingi nahis mi nahc ni hurka tu ya umalaya ndo tabia yaakee
 
Pole kwa yaliyokukuta, kuwachukia wanaume sio suluhisho la tatizo......huna sababu ya kuwachukia, cha muhimu ni jifunze namna ya kukabiliana nao, maana wao wamekuwepo na wataendelea kuwepo bila kujali kwamba ni wazuri au wabaya, na pia wao ni sehemu ya maisha yako ya kila siku. Ukitafakari kwa kina utagundua kwamba huenda tatizo sio huyo mwanaume au wanaume kwa ujumla, bali ni namna wewe ulivyoweka matarajio yako kwake, unataka awe unavyotaka wewe. Mwanaume huyohuyo ambaye wewe unajiandaa kumchukia, kuna mahali anatakiwa sana, anapendwa sana, jiulize hii ina maana gani, jiulize wapi mnapopishana. Kilichopo ni kwamba matarajio na mitazamo yako na ya kwake imetofautiana, hivyo usijiumize bure, kaa chini jipange, jitambue unataka nini maishani, unataka nini kwa mwanaume. Ishi ndani ya misitari na misimamo inayoendana na wewe, usiishi kwasababu mwanaume anataka, asiyetaka kuendana na wewe mwambie samahani huo ndio msimamo wangu, haya ndio matakwa yangu. Kuna mahali hivi sasa kuna mwanaume anatafuta na anatamani sana kuwa na mwanamke mwenye sifa, matarajio na mitazamo kama yako. We ni kusonga mbele tu atakuja mwingine mtakalingana matarajio na mitazamo yenu na utaishi kwa amani, upendo na furaha, ila USIWACHUKIE WANAUME

daaah umeongea point mpka nmetoa chozi jmn asante asnte kwa kunitia moyo kweli kupitia hili nmejifunza mengi mno mwanaume alinicheat mara ya kwanza nkampa last chance maan alikuwa anataka kujihalishia na nkajua kajifunza ankamsamehe yakaisha tumekaa wee mwaka na nusu sasa kimejitokeza kile kile thou kwa mwanamke mwengine it's more than hurts mtu unakuwa umempata mwanamke mwenye kumpenda kungu, anakuheshimu,anakujali,na kukuthamn alifu unakuja kumshushia hadhi yake na sio kwamba mri wake ni mdogo hapan na makamo ya kupata family kabisa
 
Back
Top Bottom