Nawachukia wanaume

Nawachukia wanaume

Subiri akija umueleze mwenyewe, mie kazi yangu imeisha, na si unajua mie ni marufuku kuniita kwenye vikao vyenu vya usuluhishi? Mie mnipege taarifa tu.

Tenaaa ashukuru Mungu nimeona asubuhi hii la sivyo jana usiku hata uchi asingepata...
 
Uyu kama mimi.. Hawa wanaume lol.. God forgive me and show me the right way
 
Wanaume hawatoacha kamwe kuchepuka kwa dhahiri au siri , kwanini nasema hivyo- ni kwasababu wanawake hawa hawatabiriki kuwa wanataka nini, kwa muda gani yaani wanabadilika kila sekunde unaweza kuwa mzuri kwa muda wa masaa 20 olewako ulale masaa 4 your bad na inatosha kutukanwa nk-
 
Hao wanaume unaowachukia ndo wamekufanya uwepo hapa duniani. Kama ni hivyo chukia uwepo wako hapa duniani kwasababu umeletwa na kuwepo wanaume.
 
haukuna mwanaume wako peke yako lazima ushare na wenzio kidogo ukizingatia mpo wangu nasiye wanaume ni wachache sasa hao wanawake wenzio nani wakuwatoa genye
 
Tatizo lako ni moja tu! WEWE HUJAWAHI KUWA MWANAUME HATA DAKIKA MOJA!!
Wanaume ni tofauti sana na wanawake na kwamba hata wanaume wanawashangaa wanawake kwa vijitabia vyao.
Wewe uwe mpole tu na ufanye maamuzi ya busara
 
inakuaje mwanaume unamuheshimu, unampenda,unamthamini unamjali na hajawahi kukuta na mwanaume tofauti wala sms kwenye cm yako lakin unakuja kugundua anakucheat i think kuna baathi ya wanaume wanamapepo ya ngono hawalizikagi jitu linaumri wa kufanya mandeleo lenyewe linapata mda wa kumtongoza mtu mxxuuii...jamn kuna wakati wanatulaum wanawake lakin jmn kuna wanaume vimeo cjawahi kuona duuh
Khaa!! Lakini unapata stahili zako sawasawa?? Maana hilo ndilo jambo la msingi
 
kwani baada ya kugundua ame cheat umepungukiwa nn bibie,?

Acha maisha yaendelee tulisha ambiwa hapa na Life HACKER kulia lia uaminifu ni upuuzi

Amepungukiwa na nini? Inaumiza sana kwani unajikuta umempenda mtu kwa asilimia nyingi na unakuwa umemwachia vyako vingi sasa akikudanganya namna hiyo inakuwa umepotezewa muda na kuchezewa hisia zako. Ukute wewe ulikuwa huhangaiki na mwingine yeyote na ulilinda mno heshima. Kweli kama hujaumizwa huyajui mapenzi bado.:sad::angry::angry::A S cry:
 
Hakuna mwanaume asiyechepuka.

Unapochepuka mpk mtu ajue ujue umeshafeli kama mwanaume. Tena ni wanaume washenzi husema kauli hiyo kuhalalisha msako wao wa kusaka ukimwi.
Sio lazima mwanamke uwe na mwanaume, kuna mambo ya maana ya kufanya hapa duniani mahusiano ni nyongeza tu ila ujinga ni kuyafanya mahusiano kuwa na higher priority.
 
Back
Top Bottom