Kaboom
JF-Expert Member
- Nov 6, 2011
- 10,827
- 15,015
Yeah..Fanya hivyo..kule ni kubadili viwanja tu..Hakuna kulalaOooh kumbe!! Basi ngoja nianze ratiba ya kupata usingizi wa kutosha sasa.
Yeah..Fanya hivyo..kule ni kubadili viwanja tu..Hakuna kulalaOooh kumbe!! Basi ngoja nianze ratiba ya kupata usingizi wa kutosha sasa.
Umesemaje??
Wapo wanaume wanaobadilika na kusahau kilichofanya wakubaliwe lile ombi la 'will you marry me'.
Lakini ni mara chache sana kusikia mwanamke amechepuka. Kwamba wao hawaumii? Tatizo la wanaume huwa mnatafuta namna ya Ku justify makosa yenu,na moja moja mnapeleka lawama kwa wanawake.
inakuaje mwanaume unamuheshimu, unampenda,unamthamini unamjali na hajawahi kukuta na mwanaume tofauti wala sms kwenye cm yako lakin unakuja kugundua anakucheat i think kuna baathi ya wanaume wanamapepo ya ngono hawalizikagi jitu linaumri wa kufanya mandeleo lenyewe linapata mda wa kumtongoza mtu mxxuuii...jamn kuna wakati wanatulaum wanawake lakin jmn kuna wanaume vimeo cjawahi kuona duuh
Hujanisikia...m
Kuna kurudi nyuma hatua kadhaa, na kunakurudi mwanzo kabisa. Yani mnarudigi from hero to zero, kuanza kupiga hatua tena mmmh...
Katika maisha yako yote " never underestimate a woman". Usijirudi afu ukaona kakupokea tu kiurahisiiii teh atakuchekesha kitalebaniNdio hivyo mamii unakuwa mdogo kama piriton unajipanga upyaa....ila utakuta mwanamke hajiuliz why kachitiwa..
Kwa kweli inakatisha tamaa sana kuona mtu yupo proud kukiri "udhaifu". Ni kama mgonjwa anaumwa but Kila ukimpa dawa anazitupa kisiri siri. Inamaanisha yupo tayari kufa tu. Tuwaombee tu
Niitie Evelyn Salt....🙁
Labeka ankal kaizerNiitie Evelyn Salt....🙁
Labeka ankal kaizer
Kukiri udhaif haimaanishi tunakubaliana na hii hali, binafsi siipend ila naelezea hali ambayo inawakuta watu...
Wozapu yangu inanambia kaizer is typing.....Hebu check wozap yako mama:thumbup:
Ujinga ni Pale Unapoumizwa na Mmoja kisha kutuchanganya Wanaume wote... Hivi Umeshawahi kuambiwa wanaume wote tupo sawa Kimawazo, kimatendo na Kifkra? kuwaingiza wanaume wote kwenye kosa lililofanywa na Mwanaume mmoja nikutukosea Heshima.
Mdogo wangu usiwachukie wanaume
1.Ndivyo walivyo umbwa,ke mmoja hamtoshelezi mwanaume mmoja na ndio maana utasikia hadi mchungaji kashikwa ugoni
2.Hiyo kitu huwa haiishi utamu, maadam akitoka kuchepuka iko vilevile we zingatia tu msosi mpe wa kutosha
Zingatia hayo kamwe hutapata magonjwa kama ya moyo ila hakikisha anakupa ela ya kutosha
inakuaje mwanaume unamuheshimu, unampenda,unamthamini unamjali na hajawahi kukuta na mwanaume tofauti wala sms kwenye cm yako lakin unakuja kugundua anakucheat i think kuna baathi ya wanaume wanamapepo ya ngono hawalizikagi jitu linaumri wa kufanya mandeleo lenyewe linapata mda wa kumtongoza mtu mxxuuii...jamn kuna wakati wanatulaum wanawake lakin jmn kuna wanaume vimeo cjawahi kuona duuh
pole dada ila jua hata maandko yanasema kila jarbu litapta hvyo muombe mungu na uskmbilie kumuacha muombee xana na mungu atajbu