Nawachukia wanaume

Nawachukia wanaume

Weeee there is no justification for cheating. Na siamini kwamba Kila mwanaume anayecheat ni kwa sababu mwanamke kakosea. Mahusiano kama hayaendi unavyotaka basi toka, ukicheat. Na kuna wanaume hata akidate malaika atamcheat tu. Afu sielewagi mnavyoconclude kuwa mwanaume akicheat tu, basi mwanamke ndo kakosea, nyie kwenye mahusiano hamkoseagi? Ni malaika nyie?
Makosa yapo ya Kucheat Lakini Sidhani kama mwanaume anaweza kucheat bila kuwepo na Sababu. Ukiwa Upo kwenye Mahusiano dhabiti na Yenye kuheshimu utu na uthamini Juu ya Hisia Ulizo nazo juu ya Mtu Uliyenae, Huwezi Kumsaliti.. Lakini Kusema namuheshimu tu sio sababu ya Kumfanya Asikucheat.. Mwanaume Anahitaji Zaidi Ya Heshima... Kama Huamini Jaribu ww kumuheshimu tu Paulo Bila Mambo Mengine Uone kama patakuwa na Uaminifu. Huwezi kuishi katika uhusiano kwa Mazoea Kila siku lazima uwe mpya ili Kudumisha Maoenzi Yako. Mwanaume hawezi kucheat Kama Unamtosheleza kwa Kila kitu Sio kumuheshimu tu
 
Trusting a man is a luxury i can never ever afford, cha msingi naangalia yangu tu.
 
Hicho ni kisingizio tu mnachotumia kujustfy huo uzinzi wenu, hizo kero wewe kama mwanaume umeshindwa kudeal nazo? Hivi mnadhani nyie huwa hamtukeri eti? Nyie malaika mnooooo!! Hakuna justfication ya kusaliti maana yale ni maamuzi sio ajali.

Kuna kero za wanawake hazivumiliki akyamungu tena...
 
inakuaje mwanaume unamuheshimu, unampenda,unamthamini unamjali na hajawahi kukuta na mwanaume tofauti wala sms kwenye cm yako lakin unakuja kugundua anakucheat i think kuna baathi ya wanaume wanamapepo ya ngono hawalizikagi jitu linaumri wa kufanya mandeleo lenyewe linapata mda wa kumtongoza mtu mxxuuii...jamn kuna wakati wanatulaum wanawake lakin jmn kuna wanaume vimeo cjawahi kuona duuh

Pole sana mrembo....

Ipo siku utampata mr Right utasahau yoote...

Kuna mengi sana umeshauriwa kimsingi ujiangalie nawewe pia kama una mapungufu jitahidi uyarekebishe kwa upande wako ikiwemo mambo ya sita kwa sita, usafi, ukaribu wa mpenz wako, kumjali... dada jitahid si unajua wanaume tunajisahau mnoo..hasa tukipata anae tupenda....

Kama ulikuwa na malengo nayeye usikubali yapotee kirahisi..yeye kukucheat usisababishe ukamshushaa hadhi kaa nae chini, muulize amekosa nini kwako? Unatatizo lipi? Muulize kwa upole atakuelewa..pia mueleze kwamba hufurahishwi na hiyo tabia

Kuchepuka kwa mwanaume huwa ni tamaa zaid kuliko mapunguf ya mwanamke,

Kuwa makini dada, hilo ni swala dogo linarekebishika..
 
pole sana,

mwanaume mmoja asikufanye uchukie wanaume wote, wapo wanaume wanaojua thamani ya kupendwa, jipe moyo
tulia utampata aliye sahihi na atakayekupenda kwa dhati na kuuthamini upendo wako.

kuumizwa ni jambo la kawaida kwenye mapenzi, unaumia, unaumiza ila unasonga mbele.
usiukatili moyo wako kwa kujiapiza hutopenda tena, bali kuwa makini na mtu unaeanzisha nae mahusiano.

pia kama walivyosema wadau wengine, jichunguze nawe pia pale ambapo pana makosa ujitahidi kujirekebisha
 
Kuna kero za wanawake hazivumiliki akyamungu tena...

Kwahiyo suluhisho lako ni kumsaliti?? Lame excuse.

Hivi kuna viumbe wana kero kama wanaume humu duniani!! Tena zile kero zenu ingekuwa ndio tunawafanyia sijui dunia ingekuwaje!!!
 
Kwahiyo suluhisho lako ni kumsaliti?? Lame excuse.

Hivi kuna viumbe wana kero kama wanaume humu duniani!! Tena zile kero zenu ingekuwa ndio tunawafanyia sijui dunia ingekuwaje!!!

Sio mimi...
 
inakuaje mwanaume unamuheshimu, unampenda,unamthamini unamjali na hajawahi kukuta na mwanaume tofauti wala sms kwenye cm yako lakin unakuja kugundua anakucheat i think kuna baathi ya wanaume wanamapepo ya ngono hawalizikagi jitu linaumri wa kufanya mandeleo lenyewe linapata mda wa kumtongoza mtu mxxuuii...jamn kuna wakati wanatulaum wanawake lakin jmn kuna wanaume vimeo cjawahi kuona duuh
pole sana ila ongea nae kwa kina, wakati wa maongezi usiwe na hasira maana nae atakuja juu, ongea nae taratibu na umtolee ushahidi wote had aone aibu, kisha muweke mpango wa kumtoa kwenye tabia hiyo,kuna sababu kadhaa kama kufuata mikumbo, kwenda sehemu zenye wanawake wanaotega ili kuchuna, kuwa na mda usokua na kazi, nyumbani kuna migogoro n.k kwenye maongezi utagundua na mtaanza mpango wa kumsaidia
 
Kwahiyo suluhisho lako ni kumsaliti?? Lame excuse.

Hivi kuna viumbe wana kero kama wanaume humu duniani!! Tena zile kero zenu ingekuwa ndio tunawafanyia sijui dunia ingekuwaje!!!

Shem...
Wanawake hata biblia imewaagiza wawe wavumilivu...wao wakiruka ukuta inakuwa shida kubwa..
 
Teh teh kuna mtu alifanya hacking kwenye accout yangu...

Subiri akija umueleze mwenyewe, mie kazi yangu imeisha, na si unajua mie ni marufuku kuniita kwenye vikao vyenu vya usuluhishi? Mie mnipege taarifa tu.
 
Shem...
Wanawake hata biblia imewaagiza wawe wavumilivu...wao wakiruka ukuta inakuwa shida kubwa..

Uvumilivu umeagizwa kwa wote, mliambiwa "mtupende" hebu rejea biblia inasema nini kuhusu "upendo" maana Mungu alijua mkitupenda mtazishinda tamaa zingine zoooote, sasa iweje ifikie eti mkeo anakuudhi hadi huwezi kuvumilia? Basi jua wewe ni kimeo zaidi yake.
 
Back
Top Bottom