Nawachukia wanaume

Nawachukia wanaume

Makosa yapo ya Kucheat Lakini Sidhani kama mwanaume anaweza kucheat bila kuwepo na Sababu. Ukiwa Upo kwenye Mahusiano dhabiti na Yenye kuheshimu utu na uthamini Juu ya Hisia Ulizo nazo juu ya Mtu Uliyenae, Huwezi Kumsaliti.. Lakini Kusema namuheshimu tu sio sababu ya Kumfanya Asikucheat.. Mwanaume Anahitaji Zaidi Ya Heshima... Kama Huamini Jaribu ww kumuheshimu tu Paulo Bila Mambo Mengine Uone kama patakuwa na Uaminifu. Huwezi kuishi katika uhusiano kwa Mazoea Kila siku lazima uwe mpya ili Kudumisha Maoenzi Yako. Mwanaume hawezi kucheat Kama Unamtosheleza kwa Kila kitu Sio kumuheshimu tu
Nilipause kidogo ili niactivate mood ya kuandika gazeti teh. Here we go....

Kuna several reasons to why men/ people cheat.

1. Emotional dissatisfaction na sio sexual dissatisfaction. Kuna connection inakuwepo kati ya mume na mke. Urafiki, masikilizano, maelewano etc. Kukiwa na emotional distance kati ya wanandoa, mwingine ataopt kucheat

2. Immaturity; kuna mtu anacheat kwa sababu anajua hata nikicheat yule mjinga hatojua. So anakitembeza tu

3. Insecurity; kuna watu hawajaamini maybe anajiona hakubaliki kutokana na hali fulani, ( anajiona mbaya, minene sana, mwembamba sana, mfupi sana etc. So anajaribu kwenda nje ili kuboost confidence yake.

4. Stress; yani kuna watu wakiwa na stress atalewa weee, mwingine atatafuta mchepuko nje. Sasa sijui kama akimaliza kusex stress zake zinakuwa zimeisha au vipi

5. Unmet expectations. Wanaume mnakuwaga na expectations kubwa mno especially kwenye tendo la ndoa. Huwa nawasoma tu humu " anipe sex whenever I want bila kuwa na excuse yeyote. Lakini mnasahau kuwa kuna muda mwanamke anachanganywa na mambo mengi, watoto, kazi, nyumba, wewe mwenyewe, etc. Hivyo inawezekaga asikupe sex as you wish. Basi ndo mnapata sababu ya kuchepuka.

6. "Trying varieties". Kuna watu huwa ni chovya chovya tu. Kutulia na mkewe ni future impossible tense.

7. He is traumatized. Mfano alikuwa sexually abused, alikataliwa huko mwanzoni, aliumizwa wee. Mume wa hivi kama hajatibiwa akapona majeraha yake basi hakawii kucheat as anaona ni one of the solutions za kukimbia "his past"

8. No fear of God; kuna wanaume wana matatizo kwenye ndoa zao hadi unatamani kuwatafutia michepuko. But hata siku moja hakubali kucheat, kwa sababu ana hofu ya Mungu ndani yake. Unamkuta anaishia tu kwenye maombi ili aponye ndoa yake. Sasa wale wenzangu, sababu ya kucheat hana na hana hofu ya Mungu... do u expect atamuhofia mkewe pyeeeee

*Hope hadi hapo umeona kuwa kuna mahali mwanamke hayupo responsible kabisa na mumewe kucheat. Halafu niwaulize hivi hao michepuko ndo malaika sana, kwamba wao ni tofauti na wake zenu au? Mbona yanawashindaga, mnarudigi kwa wake zenu vijuso vimewashuka, mmepauka but still mnapokelewa.

Kabla hujaanza kucheat, muwe mnaangalia hatima ya kuchepuka kwenu. Hao wake zenu mnaoona hawawatoshelezi ndo hao hao wanawapokeaga tena baada ya michepuko kuwachuna na kuwachoka au muumwe muda mrefu muone kama michepuko huwa wana muda wa kuuguza mtu.

Heshimuni wake zenu, kama ambavyo maisha hawajawahi kuwa perfect, ndivyo hivyo hivyo na mahusiano hayawezi kuwa perfect. Bebeaneni mapungufu yenu, na muenjoy mahusiano yenu.
 
Shem hata nikisema kwamba hatuchepuki nitAkuwa najidanganya mwenyew..hali halisi ndio hiyo. Wachepukaji ni wengi mno ndio maana naamini katika subira na uvumilivu wa mwaanamke na sio kubreak up..

Mimi sivumilii kwakweli, chepuka nisijue nikijua ndio kwaheri.
 
Nilipause kidogo ili niactivate mood ya kuandika gazeti teh. Here we go....

Kuna several reasons to why men/ people cheat.

1. Emotional dissatisfaction na sio sexual dissatisfaction. Kuna connection inakuwepo kati ya mume na mke. Urafiki, masikilizano, maelewano etc. Kukiwa na emotional distance kati ya wanandoa, mwingine ataopt kucheat

2. Immaturity; kuna mtu anacheat kwa sababu anajua hata nikicheat yule mjinga hatojua. So anakitembeza tu

3. Insecurity; kuna watu hawajaamini maybe anajiona hakubaliki kutokana na hali fulani, ( anajiona mbaya, minene sana, mwembamba sana, mfupi sana etc. So anajaribu kwenda nje ili kuboost confidence yake.

4. Stress; yani kuna watu wakiwa na stress atalewa weee, mwingine atatafuta mchepuko nje. Sasa sijui kama akimaliza kusex stress zake zinakuwa zimeisha au vipi

5. Unmet expectations. Wanaume mnakuwaga na expectations kubwa mno especially kwenye tendo la ndoa. Huwa nawasoma tu humu " anipe sex whenever I want bila kuwa na excuse yeyote. Lakini mnasahau kuwa kuna muda mwanamke anachanganywa na mambo mengi, watoto, kazi, nyumba, wewe mwenyewe, etc. Hivyo inawezekaga asikupe sex as you wish. Basi ndo mnapata sababu ya kuchepuka.

6. "Trying varieties". Kuna watu huwa ni chovya chovya tu. Kutulia na mkewe ni future impossible tense.

7. He is traumatized. Mfano alikuwa sexually abused, alikataliwa huko mwanzoni, aliumizwa wee. Mume wa hivi kama hajatibiwa akapona majeraha yake basi hakawii kucheat as anaona ni one of the solutions za kukimbia "his past"

8. Not fearing God; kuna wanaume wana matatizo kwenye ndoa zao hadi unatamani kuwatafutia michepuko. But hata siku moja hakubali kucheat, kwa sababu ana hofu ya Mungu ndani yake. Unamkuta anaishia tu kwenye maombi ili aponye ndoa yake. Sasa wale wenzangu, sababu ya kucheat hana na hana hofu ya Mungu... do u expect atamuhofia mkewe pyeeeee

*Hope hadi hapo umeona kuwa kuna mahali mwanamke hayupo responsible kabisa na mumewe kucheat. Halafu niwaulize hivi hao michepuko ndo malaika sana, kwamba wao ni tofauti na wake zenu au? Mbona yanawashindaga, mnarudigi kwa wake zenu vijuso vimewashuka, mmepauka but still mnapokelewa.

Kabla hujaanza kucheat, muwe mnaangalia hatima ya kuchepuka kwenu. Hao wake zenu mnaoona hawawatoshelezi ndo hao hao wanawapokeaga tena baada ya michepuko kuwachuna na kuwachoka au muumwe muda mrefu muone kama michepuko huwa wana muda wa kuuguza mtu.

Heshimuni wake zenu, kama ambavyo maisha hawajawahi kuwa perfect, ndivyo hivyo hivyo na mahusiano hayawezi kuwa perfect. Bebeaneni mapungufu yenu, na muenjoy mahusiano yenu.

Shemej atoto there are milion of reasons za kuchepuka umeonaa.....
 
Last edited by a moderator:
Kwann asiamin wakat mmi ndo nmeandika we vipii belv or not huo ndo ukweli tang nmekuwa na mwak wa tano sasa hajawah kuta nmemcheat,hatawahi skia nnamtu,nampenda,namheshimu,namthamin na kumthamini lakin kafanya utumboo ni mwanamkee gan sasa hiv afanye yotee hayo karne hii mxuuu foolish

Kipenzi kwa style hii utalia sana tu. "Five good years" unamdate mtu na hata status yako haijaupgrade from girlfriend to fiancee!!! Uhusiano usio na future huwa unaonekana tu. Kujipa matumaini kuwa atabadilika mbeleni, ni kujitafutia disappointments tu. Ukiona "red flags" Ondoka tu mpendwa
 
Nilipause kidogo ili niactivate mood ya kuandika gazeti teh. Here we go....

Kuna several reasons to why men/ people cheat.

1. Emotional dissatisfaction na sio sexual dissatisfaction. Kuna connection inakuwepo kati ya mume na mke. Urafiki, masikilizano, maelewano etc. Kukiwa na emotional distance kati ya wanandoa, mwingine ataopt kucheat

2. Immaturity; kuna mtu anacheat kwa sababu anajua hata nikicheat yule mjinga hatojua. So anakitembeza tu

3. Insecurity; kuna watu hawajaamini maybe anajiona hakubaliki kutokana na hali fulani, ( anajiona mbaya, minene sana, mwembamba sana, mfupi sana etc. So anajaribu kwenda nje ili kuboost confidence yake.

4. Stress; yani kuna watu wakiwa na stress atalewa weee, mwingine atatafuta mchepuko nje. Sasa sijui kama akimaliza kusex stress zake zinakuwa zimeisha au vipi

5. Unmet expectations. Wanaume mnakuwaga na expectations kubwa mno especially kwenye tendo la ndoa. Huwa nawasoma tu humu " anipe sex whenever I want bila kuwa na excuse yeyote. Lakini mnasahau kuwa kuna muda mwanamke anachanganywa na mambo mengi, watoto, kazi, nyumba, wewe mwenyewe, etc. Hivyo inawezekaga asikupe sex as you wish. Basi ndo mnapata sababu ya kuchepuka.

6. "Trying varieties". Kuna watu huwa ni chovya chovya tu. Kutulia na mkewe ni future impossible tense.

7. He is traumatized. Mfano alikuwa sexually abused, alikataliwa huko mwanzoni, aliumizwa wee. Mume wa hivi kama hajatibiwa akapona majeraha yake basi hakawii kucheat as anaona ni one of the solutions za kukimbia "his past"

8. Not fearing God; kuna wanaume wana matatizo kwenye ndoa zao hadi unatamani kuwatafutia michepuko. But hata siku moja hakubali kucheat, kwa sababu ana hofu ya Mungu ndani yake. Unamkuta anaishia tu kwenye maombi ili aponye ndoa yake. Sasa wale wenzangu, sababu ya kucheat hana na hana hofu ya Mungu... do u expect atamuhofia mkewe pyeeeee

*Hope hadi hapo umeona kuwa kuna mahali mwanamke hayupo responsible kabisa na mumewe kucheat. Halafu niwaulize hivi hao michepuko ndo malaika sana, kwamba wao ni tofauti na wake zenu au? Mbona yanawashindaga, mnarudigi kwa wake zenu vijuso vimewashuka, mmepauka but still mnapokelewa.

Kabla hujaanza kucheat, muwe mnaangalia hatima ya kuchepuka kwenu. Hao wake zenu mnaoona hawawatoshelezi ndo hao hao wanawapokeaga tena baada ya michepuko kuwachuna na kuwachoka au muumwe muda mrefu muone kama michepuko huwa wana muda wa kuuguza mtu.

Heshimuni wake zenu, kama ambavyo maisha hawajawahi kuwa perfect, ndivyo hivyo hivyo na mahusiano hayawezi kuwa perfect. Bebeaneni mapungufu yenu, na muenjoy mahusiano yenu.

Dah...

Some time they are right...men
 
Dah...

Some time they are right...men
Abeg who is right? Tatizo mnakimbilia temporary solution ambayo ni "kuchepuka". And by doing so hamjengi bali mnabomoa kabisa. Tafuteni long - term kama sio permanent solutions
 
Bora ulivyowaelezea maana always mwanaume aki cheat fault inatafutwa kwa mawanamke. Labda hakukatika vizuri, labda hajiweki msafi, labda my foot! Kuna wanaume ni vitembeza kufuli mtake msitake. Hapitwi na sketi!
Mi naomba niulize, hi wanawake wangapi wanakaa na wanaume performance sifuri 6x6 na ham cheat, anabakia ku fake orgasm kila kukicha?! Na Leo hii yule mke ani chaet utasikia yule mwanamke Malaya kabisa anam cheat mumewe. Nobody will ever say pengine mume ana tatizo. Ngoja sasa a cheat mume..!Kila justification itatafutwa ya ubaya wa mke!
 
Mimi sivumilii kwakweli, chepuka nisijue nikijua ndio kwaheri.

hatari sana,,

Nimekuonea huruma sana dada yangu,
Dunia ya leo Wanaume tulivyo itasoma sana kilometer sababu kila siku utakuwa unaanzisha mahusiano mapya.
 
Abeg who is right? Tatizo mnakimbilia temporary solution ambayo ni "kuchepuka". And by doing so hamjengi bali mnabomoa kabisa. Tafuteni long - term kama sio permanent solutions

Parmanent solution huanza kwa temporal solution kwanza, unachepuka ukiona mchepuko upo poa zaidi ya njia kuu bhas unahama full...
 
Lakini sababu kubwa kuliko zote ni kukosa hofu ya Mungu na tamaa zenu za ngono

Hii pekee ndio sababu, zile zingine ni justifications tu, kwangu hazina msingi haswaaaa, maana kama umeamua kuingia kwenye mahusiano, inamaana umeamua kuingia na mtu unayempenda na umemridhia na wayajua mapungufu yake na uko tayari kuvumiliana as hata nawe haujakamilika, "love" inashinda yote.
 
Parmanent solution huanza kwa temporal solution kwanza, unachepuka ukiona mchepuko upo poa zaidi ya njia kuu bhas unahama full...
Teh I'm afraid utaishia kuwa "nomadic pastoralist". Coz utakuwa unahisi always kuwa nje ndo kuna green pasture. So utaishia tu kumanga manga
 
hatari sana,,

Nimekuonea huruma sana dada yangu,
Dunia ya leo Wanaume tulivyo itasoma sana kilometer sababu kila siku utakuwa unaanzisha mahusiano mapya.

Like serious!! Kwahiyo umeshajiandaa kabisaaaa kuwa utachepuka? Nitapata wa kufanana nami, nawe utapata mchepukaji mwenzio, so hilo halinipi shida.
 
Parmanent solution huanza kwa temporal solution kwanza, unachepuka ukiona mchepuko upo poa zaidi ya njia kuu bhas unahama full...
Napenda sura ya mwanaume akiwa kapigika nyumba ndogo anarudi kwa mkewe kuomba msamaha, anamkuta mke na watoto wako poa maendeleo kwenda mbele anarudi sura ndogoo, mke wangu niliteleza! Mxiiiuuuuu! Alikanyaga ganda la ndizi?!
 
Bora ulivyowaelezea maana always mwanaume aki cheat fault inatafutwa kwa mawanamke. Labda hakukatika vizuri, labda hajiweki msafi, labda my foot! Kuna wanaume ni vitembeza kufuli mtake msitake. Hapitwi na sketi!
Mi naomba niulize, hi wanawake wangapi wanakaa na wanaume performance sifuri 6x6 na ham cheat, anabakia ku fake orgasm kila kukicha?! Na Leo hii yule mke ani chaet utasikia yule mwanamke Malaya kabisa anam cheat mumewe. Nobody will ever say pengine mume ana tatizo. Ngoja sasa a cheat mume..!Kila justification itatafutwa ya ubaya wa mke!
Teh wanaume hawana matatizo jamani. Wote ni malaika pyeee. Watuheshimu sana wanawake, kwa sababu hatima ya ndoa nyingi ipo mikononi mwa mwanamke. Mwanamke atajitahidi kadri awezavyo kuficha mapungufu ya mume wake, but ni wachache wanaoappreciate kile wanachokifanya wake zao. Mungu awasaidie hawa wanaume
 
Back
Top Bottom