Heaven Sent
JF-Expert Member
- Sep 27, 2013
- 32,717
- 98,375
Hili kweli ni Gazeti.. lakini kiasi flani umejitahidi kutetea Unachokiamini lakini ukweli unabaki pale pale kwamba Bila kufuata misingi bora ya mahusiano na kanuni halisi za Mapenzi Haya Usingeyasikia. Tukubali tukatae Hata nyie mmekuwa Sababu ya Waume zenu kuchepuka
Teh fanya basi kunilipa kwa gazeti langu.
There is absolutely no justification for cheating on someone . Mkeo akikosea/ kujisahau ndo ukacheat? Muwe na hofu ya Mungu, punguzeni tamaa za ngono na kuwe na mawasiliano kati wa wanandoa inapotokea tu kuna kitu hakijakaa sawa