Nawachukia wanaume

Nawachukia wanaume

Hey stop stop stop tunajua wapo wanaume kama hao na pia wapo wanawake same as men
 
inakuaje mwanaume unamuheshimu, unampenda,unamthamini unamjali na hajawahi kukuta na mwanaume tofauti wala sms kwenye cm yako lakin unakuja kugundua anakucheat i think kuna baathi ya wanaume wanamapepo ya ngono hawalizikagi jitu linaumri wa kufanya mandeleo lenyewe linapata mda wa kumtongoza mtu mxxuuii...jamn kuna wakati wanatulaum wanawake lakin jmn kuna wanaume vimeo cjawahi kuona duuh

toroka uje
 
naah thank you aisee siwatakii kwakwelii

Give it time... #pole

Ukiwapenda watakukaa akilini, ukiwachukia watakukaa akilini pia. Ukishindwa kuwapenda basi waignore tu then be happy na maisha yako. Afu ipo siku utampata "Mr right" wako na utasahau machungu yote. Ubaya wa huyo aliyekutenda usikubadili ukawa bad girl, wala usichukulie kuwa wanaume wote hawafai. Just keep on being a good girl.

Shem una maushauriiii.... #kudos

Sisi waafrika Mwenyezi Mungu mwingi wa Rehema katika mahaba alitupa upendeleo. Paja la binti/dada/mama wa kiafrika linatia wazimu "wanaume" kuliko hata mgao wa umeme. Ndio maana Bibi zetu waliwatafutia waume zao mpango wa kando kwa kujui mwanaume wa kiafrika hawezi kutulia na mtu mmoja.

Kingine kinahamasisha haya ni uvivu, jamii imejikuta ni ya watu wavivu wenye kupenda kula vizuri. Matokeo yake ndio hayo unayolalamikia.

Ushauri wangu tafuta mjapani ili usiumizwe. Soma kitabu kinachoitwa "BIKIRA YANGU"

Mwandishi ndo nani? Summary kidogo...
 
kaku cheat sawa but sababu ya ku cheat ni nini? unaweza ukawa haujamcheat ka ulivosema lakini kuna mambo mengine behind ya cheating na betraying,, afu izo tabia za kulilia mapenzi ni za kitoto kabisa huwezi sema unawachukia wanaume kisa uyo bwana ako ka ku cheat, afu ni bora pengo kuliko jino bovu, kucheat na kusepa kwake inaweza kua njia ya wewe kupata mwingine much better than him
"when one door closed another door opened- bob marley
 
Ujinga ni Pale Unapoumizwa na Mmoja kisha kutuchanganya Wanaume wote... Hivi Umeshawahi kuambiwa wanaume wote tupo sawa Kimawazo, kimatendo na Kifkra? kuwaingiza wanaume wote kwenye kosa lililofanywa na Mwanaume mmoja nikutukosea Heshima.
 
Cheating is inevitable...
Wazur na wamaumbo meng meng mko weng sana siku hz na mnavyojua kuyaonesha bas ndo balaa
 
inakuaje mwanaume unamuheshimu, unampenda,unamthamini unamjali na hajawahi kukuta na mwanaume tofauti wala sms kwenye cm yako lakin unakuja kugundua anakucheat i think kuna baathi ya wanaume wanamapepo ya ngono hawalizikagi jitu linaumri wa kufanya mandeleo lenyewe linapata mda wa kumtongoza mtu mxxuuii...jamn kuna wakati wanatulaum wanawake lakin jmn kuna wanaume vimeo cjawahi kuona duuh

unaramboooooooo....# anatafut mnato huyo co dem utafikir kinu khaaa mtoto kama gogo au mchaga ww maana ndio magogo saaaaana.. bichwa kama selela
 
Mdogo wangu usiwachukie wanaume
1.Ndivyo walivyo umbwa,ke mmoja hamtoshelezi mwanaume mmoja na ndio maana utasikia hadi mchungaji kashikwa ugoni
2.Hiyo kitu huwa haiishi utamu, maadam akitoka kuchepuka iko vilevile we zingatia tu msosi mpe wa kutosha

Zingatia hayo kamwe hutapata magonjwa kama ya moyo ila hakikisha anakupa ela ya kutosha
 
inakuaje mwanaume unamuheshimu, unampenda,unamthamini unamjali na hajawahi kukuta na mwanaume tofauti wala sms kwenye cm yako lakin unakuja kugundua anakucheat i think kuna baathi ya wanaume wanamapepo ya ngono hawalizikagi jitu linaumri wa kufanya mandeleo lenyewe linapata mda wa kumtongoza mtu mxxuuii...jamn kuna wakati wanatulaum wanawake lakin jmn kuna wanaume vimeo cjawahi kuona duuh

kuna vitu anakosa kwako. na huo ndo ukweli mchungu
 
kaku cheat sawa but sababu ya ku cheat ni nini? unaweza ukawa haujamcheat ka ulivosema lakini kuna mambo mengine behind ya cheating na betraying,, afu izo tabia za kulilia mapenzi ni za kitoto kabisa huwezi sema unawachukia wanaume kisa uyo bwana ako ka ku cheat, afu ni bora pengo kuliko jino bovu, kucheat na kusepa kwake inaweza kua njia ya wewe kupata mwingine much better than him
"when one door closed another door opened- bob marley
Kosa la hawa wenzetu Wanajua chanzo cha mwanaume kucheat ni Kutomuheshimu, Hawajui yapo mengi sana ambayo husababisha mwanaume Akusakiti. Kuamini kuwa kumuheshimu mwanaume ndio njia ya Kumfanya Asikusaliti ni Ujinga. Kuna Vingi Mwanaume Anapenda Sio Hayo tu
 
inakuaje mwanaume unamuheshimu, unampenda,unamthamini unamjali na hajawahi kukuta na mwanaume tofauti wala sms kwenye cm yako lakin unakuja kugundua anakucheat i think kuna baathi ya wanaume wanamapepo ya ngono hawalizikagi jitu linaumri wa kufanya mandeleo lenyewe linapata mda wa kumtongoza mtu mxxuuii...jamn kuna wakati wanatulaum wanawake lakin jmn kuna wanaume vimeo cjawahi kuona duuh

Pole saaana but ndo maisha hayo! Usivunjike moyo wanaume wazuri kitabia wapo pia ila hawana alama usoni so usivunjike moyo.
 
Dunia imebadilika...usikiamini hata kivuli chako..
 
Omba mungu na sio kuwachukia wanaume sasa utampenda nini au mwanamke mwenzako mungu ndio njia ya kila jaribu mama
 
Back
Top Bottom