Kamjingijingi
JF-Expert Member
- Mar 10, 2009
- 806
- 129
Wanaume wasikuhizi ndiyo walivyoo jaribu kuwa na ijasiri yamali utashangaa atakupenda kama sukari
inakuaje mwanaume unamuheshimu, unampenda,unamthamini unamjali na hajawahi kukuta na mwanaume tofauti wala sms kwenye cm yako lakin unakuja kugundua anakucheat i think kuna baathi ya wanaume wanamapepo ya ngono hawalizikagi jitu linaumri wa kufanya mandeleo lenyewe linapata mda wa kumtongoza mtu mxxuuii...jamn kuna wakati wanatulaum wanawake lakin jmn kuna wanaume vimeo cjawahi kuona duuh
Ila ukimwi, gono na kansa ya kizazi vitahusika
Hapo inategemea na mchepukaji anajilinda kwa kiasi gani,na lishe anayoipata inamsupport na kuwa na afya bora baada ya kuchepuka!!!
Kama ana mtu ana matatizo unabaki nae wa nini? Si umwache tu. Hapa mwenye matatizo ni huyo aliechepuko badala ya kudeal na relationship yake like a man.Maneno Yake yasikufanye Ukampa sifa zote Inawezekana Ana matatizo tena makubwa. Mwanaume hawezi kukurupuka tu
inakuaje mwanaume unamuheshimu, unampenda,unamthamini unamjali na hajawahi kukuta na mwanaume tofauti wala sms kwenye cm yako lakin unakuja kugundua anakucheat i think kuna baathi ya wanaume wanamapepo ya ngono hawalizikagi jitu linaumri wa kufanya mandeleo lenyewe linapata mda wa kumtongoza mtu mxxuuii...jamn kuna wakati wanatulaum wanawake lakin jmn kuna wanaume vimeo cjawahi kuona duuh
Why take risk? Anachepuka abaki huko huko kichochoroni
Pole sana usiamini kiivo utaumizwa sana....
Teh teh trust is expensive gift....that i cant offer...
Cute b asione plz
cute b njoo uone huku mama.