Heaven Sent
Platinum Member
- Sep 27, 2013
- 32,719
- 98,385
My boss me nilikuwa naonyesha tu kuwa wakati mwanamke ahusiku kabisa na mumewe kucheat. Ni mume tu mwenyeweHii pekee ndio sababu, zile zingine ni justifications tu, kwangu hazina msingi haswaaaa, maana kama umeamua kuingia kwenye mahusiano, inamaana umeamua kuingia na mtu unayempenda na umemridhia na wayajua mapungufu yake na uko tayari kuvumiliana as hata nawe haujakamilika, "love" inashinda yote.