Nawachukia wanaume

Nawachukia wanaume

inakuaje mwanaume unamuheshimu, unampenda,unamthamini unamjali na hajawahi kukuta na mwanaume tofauti wala sms kwenye cm yako lakin unakuja kugundua anakucheat i think kuna baathi ya wanaume wanamapepo ya ngono hawalizikagi jitu linaumri wa kufanya mandeleo lenyewe linapata mda wa kumtongoza mtu mxxuuii...jamn kuna wakati wanatulaum wanawake lakin jmn kuna wanaume vimeo cjawahi kuona duuh

Njoo kwangu nikupe virus vya kitoz hautalia kamwe niPM
 
Kwahiyo mmejiandaa kabisaaaa kufanya ufirauni wenu mkijua tutawavumilia? Siku hizi hatuvumilii ujinga wa makusudi huo.

Hapana kuna kuteleza some time na tamaa...
incase kama ya huyu dada, awe tuu mvumilivu but it dosent mean kwamba ameaccept iyo hali ila atafute solution huku akiwa anamvumilia huyo boi..
 
Aiseeeeee

yani wewe una amini maneno ?

Kwann asiamin wakat mmi ndo nmeandika we vipii belv or not huo ndo ukweli tang nmekuwa na mwak wa tano sasa hajawah kuta nmemcheat,hatawahi skia nnamtu,nampenda,namheshimu,namthamin na kumthamini lakin kafanya utumboo ni mwanamkee gan sasa hiv afanye yotee hayo karne hii mxuuu foolish
 
Hapana kuna kuteleza some time na tamaa...
incase kama ya huyu dada, awe tuu mvumilivu but it dosent mean kwamba ameaccept iyo hali ila atafute solution huku akiwa anamvumilia huyo boi..

Shemeji nimekutafutia tusi hata sijaona maana yote mazuri, yaani huwa mnajiandaa kabisaaa kuwa tamaa zitawapitia so tuwavumilie tuuuuu!! Sivumilii ujinga mimi.
 
Ndugu yangu anakukuta humjui mwanaume yeye ndo wa kwanza unapenda kupitiliza .unaamka asubuhi unamuandalia mpaka supu mumeo aende kashiba ,umetimiza wajibu wako name kumtii lakini anayokufanyia no balaa mi moyo ulishakufa nimebaki kugightia maendeleo yangu tuu kumbe hakuna kupenda dunia ningejua ujana wangu ningeufaidi vizuriii log mxiiiiu Mungu anisamehe

Kwakweelii hayana lolotee niwale wale tuu
 
Shemeji nimekutafutia tusi hata sijaona maana yote mazuri, yaani huwa mnajiandaa kabisaaa kuwa tamaa zitawapitia so tuwavumilie tuuuuu!! Sivumilii ujinga mimi.

Shem sasa utatanga tanga sana, maana wanaume wa siku hizi wachache mnoo walio tulia, kwa huu mtindo wa kusema akichepuka tuuu wakimbia
 
Heaven Sent kumbuka ile thread ya quote na misemo niliyoitoa,, ulitoa quote nzuri sana ambazo katika ili tatizo lako ziliweza kua solution au kukupa ahueni

Nmekuelewa saan tu libenna many thank to you
 
Last edited by a moderator:
inakuaje mwanaume unamuheshimu, unampenda,unamthamini unamjali na hajawahi kukuta na mwanaume tofauti wala sms kwenye cm yako lakin unakuja kugundua anakucheat i think kuna baathi ya wanaume wanamapepo ya ngono hawalizikagi jitu linaumri wa kufanya mandeleo lenyewe linapata mda wa kumtongoza mtu mxxuuii...jamn kuna wakati wanatulaum wanawake lakin jmn kuna wanaume vimeo cjawahi kuona duuh

Sawa tumekusikia, je huyo mwanaume ni mume wako?
 
Kwa nini ulie?
Kwa nini uumizwe?
Umesalitiwa?
Usihangaike umekosa njia ya kupata furaha?

Omba Mungu
Jishughukishe (tafuta pesa)
Usichague sana mwanaume wa kukuoa (usiweke vigezo vingi)
Kuanza upya si ujinga kama umekosea
 
Shem sasa utatanga tanga sana, maana wanaume wa siku hizi wachache mnoo walio tulia, kwa huu mtindo wa kusema akichepuka tuuu wakimbia

Kwahiyo mmejiandaa kuchepuka eti?? Na unatetea kabisaaa kwa nguvu zoote, je huko nako sio kutangatanga? No wonder laana tu zinatuandama siku hizi, dhambi tunazichukulia just easyyyyyy!!!
 
Kwann asiamin wakat mmi ndo nmeandika we vipii belv or not huo ndo ukweli tang nmekuwa na mwak wa tano sasa hajawah kuta nmemcheat,hatawahi skia nnamtu,nampenda,namheshimu,namthamin na kumthamini lakin kafanya utumboo ni mwanamkee gan sasa hiv afanye yotee hayo karne hii mxuuu foolish

Vumilia dada, hayo ni mapito tuu..usipanik na kuumia moyo..
Tuliza akili tafuta solution
 
Kwahiyo mmejiandaa kuchepuka eti?? Na unatetea kabisaaa kwa nguvu zoote, je huko nako sio kutangatanga? No wonder laana tu zinatuandama siku hizi, dhambi tunazichukulia just easyyyyyy!!!

Shem hata nikisema kwamba hatuchepuki nitAkuwa najidanganya mwenyew..hali halisi ndio hiyo. Wachepukaji ni wengi mno ndio maana naamini katika subira na uvumilivu wa mwaanamke na sio kubreak up..
 
Back
Top Bottom