Nawachukia wanaume

Nawachukia wanaume

inakuaje mwanaume unamuheshimu, unampenda,unamthamini unamjali na hajawahi kukuta na mwanaume tofauti wala sms kwenye cm yako lakin unakuja kugundua anakucheat i think kuna baathi ya wanaume wanamapepo ya ngono hawalizikagi jitu linaumri wa kufanya mandeleo lenyewe linapata mda wa kumtongoza mtu mxxuuii...jamn kuna wakati wanatulaum wanawake lakin jmn kuna wanaume vimeo cjawahi kuona duuh

Kwahiyo unatuchukia wanaume wote?
 
pole dada ila jua hata maandko yanasema kila jarbu litapta hvyo muombe mungu na uskmbilie kumuacha muombee xana na mungu atajbu
 
inakuaje mwanaume unamuheshimu, unampenda,unamthamini unamjali na hajawahi kukuta na mwanaume tofauti wala sms kwenye cm yako lakin unakuja kugundua anakucheat i think kuna baathi ya wanaume wanamapepo ya ngono hawalizikagi jitu linaumri wa kufanya mandeleo lenyewe linapata mda wa kumtongoza mtu mxxuuii...jamn kuna wakati wanatulaum wanawake lakin jmn kuna wanaume vimeo cjawahi kuona duuh

Kamsemee kwao
 
Maneno Yake yasikufanye Ukampa sifa zote Inawezekana Ana matatizo tena makubwa. Mwanaume hawezi kukurupuka tu
Weeee there is no justification for cheating. Na siamini kwamba Kila mwanaume anayecheat ni kwa sababu mwanamke kakosea. Mahusiano kama hayaendi unavyotaka basi toka, usicheat. Na kuna wanaume hata akidate malaika atamcheat tu. Afu sielewagi mnavyoconclude kuwa mwanaume akicheat tu, basi mwanamke ndo kakosea, nyie kwenye mahusiano hamkoseagi? Ni malaika nyie?
 
Ndugu yangu anakukuta humjui mwanaume yeye ndo wa kwanza unapenda kupitiliza .unaamka asubuhi unamuandalia mpaka supu mumeo aende kashiba ,umetimiza wajibu wako name kumtii lakini anayokufanyia no balaa mi moyo ulishakufa nimebaki kugightia maendeleo yangu tuu kumbe hakuna kupenda dunia ningejua ujana wangu ningeufaidi vizuriii log mxiiiiu Mungu anisamehe
 
kaku cheat sawa but sababu ya ku cheat ni nini? unaweza ukawa haujamcheat ka ulivosema lakini kuna mambo mengine behind ya cheating na betraying,, afu izo tabia za kulilia mapenzi ni za kitoto kabisa huwezi sema unawachukia wanaume kisa uyo bwana ako ka ku cheat, afu ni bora pengo kuliko jino bovu, kucheat na kusepa kwake inaweza kua njia ya wewe kupata mwingine much better than him
"when one door closed another door opened- bob marley

Una akili kweli sijui ni me Mkuu Nina mdogo Wang tafadhali mkuu
 
Kumbe uliingiza moyo wote ingia nusunusu siku nyengine pole lkn
 
Back
Top Bottom