wengi tuu
Kumbe hapa tunamuongelea wa kwangu? Lol!Unajikuta humpeeendii mwenyewe, akati kila ukienda kwake unakata nyuno sakafuni
Ndio ndio πππ af unajikuta una punchline kinoma we mchumbaKumbe hapa tunamuongelea wa kwangu? Lol!
Kwa mkataba upi?MwamKe ndiyo anatakiwa akawafanye usafi. Hiyo ndiyo meaning ya mwanake kuwepo mdani.
DUNIATeh wa sayari gani hiyo mkuu?
Ndio ndio af unajikuta una punchline kinoma we mchumba
DUNIA
π€©π€©π€©π€©π€© hahaha kumbe unasafisha nyumba bila kelele shenz af unakuja kuvimbia mabaharia humu.π€£π€£π€£π€£π€£kawaida tu ila wa kwangu siyo mchafu na kusafisha ofcourse nasafisha kwa sababu ni jukumu langu na ni kwa sababu nyumba inatakiwa isafishwe kila siku ila siyo eti kwa sababu ni mchafu hell no huyo anayeongelewa na mtoa mada siyo mchafu ni mcherfoo!!
hahaha kumbe unasafisha nyumba bila kelele shenz af unakuja kuvimbia mabaharia humu.
Mwanamme akitaka kuoa atapata wa kumuoa but mwanamke unaweza taka kuolewa usipate wa kukuoa. Kutokana na hilo ukipata pakushikilia hakikisha unaonesha nia njema ili upate wa kukuoa. Nia yako ya kutwariwa ndiyo mkataba wako but kama mwanaume huyo ni danga lako tu hakuna haja ya kujihangaisha na uchafu wake maana wewe umefata mapesa tu. Sijui umenielewa mkuu?.Kwa mkataba upi?
Leo nataka kutembelea nyota yako,nifanyie muujiza basi kule PM
πππππππππnistue mkimalizana nami ningependa kuijua miujiza ya PM. Nasubiri kwa hamu kuu maana kujifunza mapya hakuna kikomo. πππ
πππ
Miujiza inahappen sana huko PM,sijui mimi na wewe tunafeli wapi!