Nawachukia wanaume wachafu

Nipo kusoma comments za wachafu, mtoa mada umejiandaa kwa mapovu lakini?
 
Tena hao ndo wazuri sasa!

Unamtengeneza na kumuweka ktk usafi kisha anakuthamini kwa jinsi ukivyotoka nae mbali toka kwenye kuwa mchafu hadi kuwa msafi.
 
Ogopa sana mwanaume ambaye yuko smart muda wote !

Wee angalia mwanaume yuko smart na kujipulizia pafyumu alivyo.

Kwanza huwa vitasa (wabahili) ile mbaya

Halafu wengine huwa siyo waaminifu anajifanya kujiweka karibu na wadada mbali mbali huku akijifanya kuwa nao karibu kumbe wala hana mpango nao.

Bora uopoe mwanaume wako simpo umtengene ili mradi moyo wake uwe safi.
 
kawaida tu ila wa kwangu siyo mchafu na kusafisha ofcourse nasafisha kwa sababu ni jukumu langu na ni kwa sababu nyumba inatakiwa isafishwe kila siku ila siyo eti kwa sababu ni mchafu hell no huyo anayeongelewa na mtoa mada siyo mchafu ni mcherfoo!!
Ndio ndio af unajikuta una punchline kinoma we mchumba
 
kawaida tu ila wa kwangu siyo mchafu na kusafisha ofcourse nasafisha kwa sababu ni jukumu langu na ni kwa sababu nyumba inatakiwa isafishwe kila siku ila siyo eti kwa sababu ni mchafu hell no huyo anayeongelewa na mtoa mada siyo mchafu ni mcherfoo!!
🀩🀩🀩🀩🀩 hahaha kumbe unasafisha nyumba bila kelele shenz af unakuja kuvimbia mabaharia humu.🀣🀣🀣🀣🀣
 
We mwenyewe lichafu yule sialkuw boyfriend wako? Kwann usimsaidie kusafisha bwege ww.
 
Kwani lini nilisema sisafishi mkuu? Ninachosema ni kuwa wanaume wawe wanawasaidia wapenzi wao au wake zao kama wa kwangu anavyonisaidia.
hahaha kumbe unasafisha nyumba bila kelele shenz af unakuja kuvimbia mabaharia humu.
 
Wanaume wasafi huwa na gubu!

Akiingia tu nyumbani anaanza hivi na vile hadi inachosha.

Bora mwanaume simpo asiye na makuu.

Ni sawa na mwanaume anayejua kula vizuri huwa ni shida wakati mwingine.

Maana hachelewi kujitia chakula ila au mpishi, utamsikia mara ooh leo tui halijaiva vizuri, mara ooh ndimu haijakolea, n.k

Bora mwanaume anayejilia ilimradi kwa wastani mambo ya msingi yanezingatia.
 
Kwa mkataba upi?
Mwanamme akitaka kuoa atapata wa kumuoa but mwanamke unaweza taka kuolewa usipate wa kukuoa. Kutokana na hilo ukipata pakushikilia hakikisha unaonesha nia njema ili upate wa kukuoa. Nia yako ya kutwariwa ndiyo mkataba wako but kama mwanaume huyo ni danga lako tu hakuna haja ya kujihangaisha na uchafu wake maana wewe umefata mapesa tu. Sijui umenielewa mkuu?.
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚nistue mkimalizana nami ningependa kuijua miujiza ya PM. Nasubiri kwa hamu kuu maana kujifunza mapya hakuna kikomo. πŸ˜‰πŸ˜‰πŸ˜‰

Leo nataka kutembelea nyota yako,nifanyie muujiza basi kule PM
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚nistue mkimalizana nami ningependa kuijua miujiza ya PM. Nasubiri kwa hamu kuu maana kujifunza mapya hakuna kikomo. πŸ˜‰πŸ˜‰πŸ˜‰
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Miujiza inahappen sana huko PM,sijui mimi na wewe tunafeli wapi!
 
  • Nzuri
Reactions: BAK

Similar Discussions

Back
Top Bottom