Nawachukia wanaume wachafu

katoto kazuri

katoto kazuri

JF-Expert Member
Joined
Feb 10, 2018
Messages
5,298
Points
2,000
katoto kazuri

katoto kazuri

JF-Expert Member
Joined Feb 10, 2018
5,298 2,000
Jamani kuna wanaume wachafu sana .
Nakumbuka nilikuwa na boyfriend wangu mmoja hivi.

Huyo kaka ni mchafu kuanzia juu mpaka chini mpaka na geto aliloko.

A)boxer jamani ni chafu mpaka basi hanyoi kabisa huko yaani mpaka akiivua inatoa vumbi.

Sasa inanuka mpaka aa huitaji kuinusa akikaa hivi kama harufu ya pilau la nyama linaloiva .

Inanuka sana .
Halafu fulana unakuta ni kanunua nyeupe ila imekuwa brown kwa uchafu.
B)VIATU

jamani wadau viatu ni vinanuka mpaka watu wakaribu wanamuhama .

Je hizo soksi akizivua jamani utaomba ufe kwanza ndio ukae hapo karibu yake.

C)nyumba niliendaga kwake hata dirisha hafungui kuna uvundo wa hatari ukikaa kwenye kochi au ukikaa kwenyw kitanda ni vumbi yaani ukifunua shuka na godoro ni jeusi yaani kama mkaa.

Maforonya ni meusi katupa vitu vinanata jamani huu ni uchafu eti.

Wanaume jamani wenye hizi tabia sio nzuri maana mwenzenu tulimlewwaha ndio akasafishwa huko pakae vyema nihistoria jamani kuwa mchafu nayo ni kipaji.
 
kurlzawa

kurlzawa

JF-Expert Member
Joined
Jan 23, 2018
Messages
6,786
Points
2,000
kurlzawa

kurlzawa

JF-Expert Member
Joined Jan 23, 2018
6,786 2,000

utamlaumu nani maisha umeyakosea mwenyewe?
 
SK2016

SK2016

JF-Expert Member
Joined
Apr 6, 2017
Messages
5,521
Points
2,000
SK2016

SK2016

JF-Expert Member
Joined Apr 6, 2017
5,521 2,000
Ulishindwaje kumbadilisha boyfriend wako?
Tunaamini ke ana nguvu ya ushawishi!
 
katoto kazuri

katoto kazuri

JF-Expert Member
Joined
Feb 10, 2018
Messages
5,298
Points
2,000
katoto kazuri

katoto kazuri

JF-Expert Member
Joined Feb 10, 2018
5,298 2,000
Hata wewe ni mchafu kimaadili.
Nawashangaa nyie maadili yenu kwani yapo vizuri au midomo tu namnaokubaliana nae kwani mmengekuwa mnatabia njema mmengekuwa single wengi humu ni wanafiki tu.
 
N

njinjo

JF-Expert Member
Joined
Feb 15, 2019
Messages
807
Points
1,000
N

njinjo

JF-Expert Member
Joined Feb 15, 2019
807 1,000
Jamani kuna wanaume wachafu sana .
Nakumbuka nilikuwa na boyfriend wangu mmoja hivi.
Huyo kaka ni mchafu kuanzia juu mpaka chini mpaka na geto aliloko.
A)boxer jamani ni chafu mpaka basi hanyoi kabisa huko yaani mpaka akiivua inatoa vumbi.
Sasa inanuka mpaka aa huitaji kuinusa akikaa hivi kama harufu ya pilau la nyama linaloiva .
Inanuka sana .
Halafu fulana unakuta ni kanunua nyeupe ila imekuwa brown kwa uchafu.
B)VIATU
jamani wadau viatu ni vinanuka mpaka watu wakaribu wanamuhama .
Je hizo soksi akizivua jamani utaomba ufe kwanza ndio ukae hapo karibu yake.
C)nyumba niliendaga kwake hata dirisha hafungui kuna uvundo wa hatari ukikaa kwenye kochi au ukikaa kwenyw kitanda ni vumbi yaani ukifunua shuka na godoro ni jeusi yaani kama mkaa.
Maforonya ni meusi katupa vitu vinanata jamani huu ni uchafu eti.
Wanaume jamani wenye hizi tabia sio nzuri maana mwenzenu tulimlewwaha ndio akasafishwa huko pakae vyema nihistoria jamani kuwa mchafu nayo ni kipaji.
Nawe ni kachangu, huyu ni boyfriend wako wa 15 unatusimlia. Ukifika 25 utavunja rekodi ya wema. Tatizo litakuwa mikojo kama hii
84bc73a5-1102-4f9f-8dfe-b58cf163ca8c-png.1171368
 
mbalizi1

mbalizi1

JF-Expert Member
Joined
Dec 16, 2015
Messages
14,252
Points
2,000
mbalizi1

mbalizi1

JF-Expert Member
Joined Dec 16, 2015
14,252 2,000
Kwa mujibu wa simulizi zako yaonekana UTUNDU uliuanza mapema sana
 
katoto kazuri

katoto kazuri

JF-Expert Member
Joined
Feb 10, 2018
Messages
5,298
Points
2,000
katoto kazuri

katoto kazuri

JF-Expert Member
Joined Feb 10, 2018
5,298 2,000
Ulimkubalije kwanza na vumbi hilo? Au siku ya kwanza alikuwa msafi?
Nilivumilia soksi nikaona anauvivu kwenda geto tu kusalimia dah ni ishu ingine kama unaingia jalalani.
 
Forum statistics

Threads 1,326,747
Members 509,585
Posts 32,233,444
Top