Nawachukia wanaume wachafu

Haya yote unatusimulia baada ya kuachwa, zama zile mapenzi moto moto huko kunakonuka na kutonyolewa ulikuwa ukikunyonya na kukulambalamba
hapana haisee sijapafanyia fair nilikuwa na kataa aiseee kuny kul🤮🤮🤮🤮
 
Una chura?
IMG-20190613-WA0001.jpg
 
Jamani kuna wanaume wachafu sana .
Nakumbuka nilikuwa na boyfriend wangu mmoja hivi.
Huyo kaka ni mchafu kuanzia juu mpaka chini mpaka na geto aliloko.
A)boxer jamani ni chafu mpaka basi hanyoi kabisa huko yaani mpaka akiivua inatoa vumbi.
Sasa inanuka mpaka aa huitaji kuinusa akikaa hivi kama harufu ya pilau la nyama linaloiva .
Inanuka sana .
Halafu fulana unakuta ni kanunua nyeupe ila imekuwa brown kwa uchafu.
B)VIATU
jamani wadau viatu ni vinanuka mpaka watu wakaribu wanamuhama .
Je hizo soksi akizivua jamani utaomba ufe kwanza ndio ukae hapo karibu yake.
C)nyumba niliendaga kwake hata dirisha hafungui kuna uvundo wa hatari ukikaa kwenye kochi au ukikaa kwenyw kitanda ni vumbi yaani ukifunua shuka na godoro ni jeusi yaani kama mkaa.
Maforonya ni meusi katupa vitu vinanata jamani huu ni uchafu eti.
Wanaume jamani wenye hizi tabia sio nzuri maana mwenzenu tulimlewwaha ndio akasafishwa huko pakae vyema nihistoria jamani kuwa mchafu nayo ni kipaji.
Mwanaume pesa mwanamke urembo
 
Pole sana...

Ungemsadia kwa kumshurutisha ajipende na kuzingatia usafi...

Usafi unapendeza kwa wote wanawake na wanaume, na uchafu unakera sana kwa wote pia...


Cc: mahondaw
 
Ha ha ha yani unavyosimulia, kuna wakaka wapangaji wenzagu yani wao ni vururu na wakioga hawajifuti maji ni kuvaa nguo hvhv sasa zipite siku mbili uwiii!! Mpaka wanaume wenzio wanawasema
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom