Navutiwa sana na mwanamke mweusi

Navutiwa sana na mwanamke mweusi

Kuna faida Mungu ametoa kwa waafrika, ngozi nyeusi ni extra layer ya ile nyeupe. Ni madhubuti, inahimili hali ya hewa mbalimbali, n.k., wengi wanaojichubua ni sawa na anayekuboa mahindi, unatoa virutubisho vyote, unabaki mweupe na kukaribisha matatizo mengine. Wazungu wengi ngozi zao ni kama albino, wanapata taabu sana wakienda sehemu za joto, ingewezekana wao ndio wangefanya jitihada kubadili ngozi zao kuwa nyeusi, lakini haiwezekani.
pokea like hiyo mkuu.
 
huwa wananifurahisha, kwasababu hadi kwenye ile kitu rangi ni nyeusi, ukifunua kalio utakuta jeusiii kama figa la kupikia linalotumia kuni, pale kwenye tunda la apple utaona vinyama tu vimepanuka katikati kama kawekundu kwa mbalii jua ndio penyewe, kama hujazoea unaweza uliza "baby, nanilii yako iko wapi"..hahaha.

Hahahahahahaaaaa...hapo mwishoni hapo patamu
 
Hahahahahaha kwa nini mahondaw? Mwenzio voice yangu Ni Kama aunt bukuku, ndo maana nikaulizia

Halafu hizo sauti nzito kwa wanawake ilikuwa ni moja ya kigezo cha kupata kazi ya utangazaji kwenye mashirika makubwa , kama BBC na DEUTSCHE WELLE zamani enzi za kina Sulma Khasim,Umulher Hamidu na wengine nimewasahau.
 
Last edited by a moderator:
Halafu hizo sauti nzito kwa wanawake ilikuwa ni moja ya kigezo cha kupata kazi ya utangazaji kwenye mashirika makubwa , kama BBC na DEUTSCHE WELLE zamani enzi za kina Sulma Khasim,Umulher Hamidu na wengine nimewasahau.

Mkuu mm tangu nikiwa mdogo sana nilikuwa mpenzi wa kusikiliza DW Swahili, ajabu ni kwamba mpaka leo huwa cjui kama Umulher ni mwanamkw au mwanaume!
 
Mkuu mm tangu nikiwa mdogo sana nilikuwa mpenzi wa kusikiliza DW Swahili, ajabu ni kwamba mpaka leo huwa cjui kama Umulher ni mwanamkw au mwanaume!

Umulher ni mwanamke. Sikummbuki sawasawa kama ni DW au BBC swahili, waliendesha kipindi kuhusu kutambua hizo sauti za hao watangazaji wa kike ,wengi walisema ni wa kiume.
 
Umulher ni mwanamke. Sikummbuki sawasawa kama ni DW au BBC swahili, waliendesha kipindi kuhusu kutambua hizo sauti za hao watangazaji wa kike ,wengi walisema ni wa kiume.

Hata mm baadae nilianza kuamini kuwa ni mwanaume japokuwa sikuwa na uhakika, ni raia wa wapi?
 
Umenikumbusha mtoto sophia , na matege kidogo na dimples za kutosha , na besi ya kukwaruza,!
 
Inaitwa husky voice...
Naipenda sana sauti ya hivyo (japo sijabarikiwa kuwa nayo lol; maana kuna watu wako busy kuangalia nani anajisifia...sina lol)
Inakuwa kama inakwaruza haikwaruzi...
Zina defer toka kwa ntu na ntu...
Mfano mzuri ni Rita Dominc actress wa Nigeria...ila tatizo mweupe...lol

https://www.youtube.com/watch?v=_WRK5-sqoSg&feature=player_detailpage

I also love black...the color is real beautiful...ni ngozi isochakaa na umri ukilinganisha na white ... kwenye jua au mvua...

Utakuwa unazungumzia white ya wazungu macaucasian hao wanazeeka haraka sana lakini wale brown na chocolate ni wanavutia hata matangazo mengi naona wanaweka rangi hizi za brown na chocolate!
 
Halafu hizo sauti nzito kwa wanawake ilikuwa ni moja ya kigezo cha kupata kazi ya utangazaji kwenye mashirika makubwa , kama BBC na DEUTSCHE WELLE zamani enzi za kina Sulma Khasim,Umulher Hamidu na wengine nimewasahau.
Duuuh sasa hivi hawaangalii tena na sauti nzito? Kumbe mbesi unaweza kunitoa eeh
 
Back
Top Bottom