Navutiwa sana na mwanamke mweusi

Navutiwa sana na mwanamke mweusi

Kweli kuna walio weusi ukiwaangalia dahhh wazurii, ila wengine weusi wao haungaiii.. !!!
Mfano Wasomali wakiwa weusi looohhh utawapenda wanaweusi mzuri hasa...

Tuseme kila mmoja anatest yake...Nilichokigundua ni kwamba Wanaume weusi wanapenda weupe mfano watu wa Kanda ya ziwa na wasukuma Wengi wanapenda Wanawake weupe...Na wanaume weupe wanapenda wanawake weusi...

Km ilivyo wazungu wanapenda weusi, na sisi waafrica tunapenda wazungu au Machotara......Mambo ni kumix.....

Unazungumzia Waafrika wanaume au wanawake?!
 
Hiyo kweli Illuh. Mi mweusi ningependa mwanaume mweupe au hata kama maji ya kunde awe zaidi yangu. Na kama ingetokea nikwa mweupe sidhani kama ningependa mweupe tena. hata hivyo weupe ule wa kizungu si mind pamoja na kwamba mi mweusi.
 
black ndo kila kitu(pimples or no pimples),kwangu akiongezea na kunyoa kama hiyo sample apo juu ni sheedaaa kwa kweli, lots of love to my black sisters.
 
Inaitwa husky voice...
Naipenda sana sauti ya hivyo (japo sijabarikiwa kuwa nayo lol; maana kuna watu wako busy kuangalia nani anajisifia...sina lol)
Inakuwa kama inakwaruza haikwaruzi...
Zina defer toka kwa ntu na ntu...
Mfano mzuri ni Rita Dominc actress wa Nigeria...ila tatizo mweupe...lol

https://www.youtube.com/watch?v=_WRK5-sqoSg&feature=player_detailpage

I also love black...the color is real beautiful...ni ngozi isochakaa na umri ukilinganisha na white ... kwenye jua au mvua...

Sio kibesi kama besi la kiume bana, ni ngumu kuielezea but mfano mzuri ni sauti ya Stara Thomas!! Si besi la kiume ila si sauti nyembamba sana huwa ina mvuto wake nayo!!
 
Sasa kisayansi,ni nini husababisha papuchi black kuwa rrreeeed hot? Is there any explanation?
 
Back
Top Bottom