Heaven Sent
Platinum Member
- Sep 27, 2013
- 32,719
- 98,386
eewaaa kabisa..
Hureeeeeee hahahahaha
eewaaa kabisa..
mbona umecheka sana?Hureeeeeee hahahahaha
mbona umecheka sana?
aisee wanawake mna mambo ya ajabu...msitufanye tukaanza kutafuta dawa za kutufanya kuwa weusi.....LOL
Najua ana asili ya huko kwa Kagame,nilikuwa naye Mwanza
ngoja nipite tu...Na wewe ni ndugu yake nini?
Tracy umesema kweli kabisa.BLACK is BEAUTIFUL
Ila to be honest i do not find lupita attractive nor beautiful,beauty kweli is in the eyes of the beerholder..no offense
mmh mweusi jamani-kama huyu mkikuyu wa nairobi aliniacha hooooi!
kumbe siko peke yangutracy umesema kweli kabisa.
Wajua Lupita K. ni very hard working gal, Na USA ukiwa huko uchapaji kazi hupata rewards zako, ukiongeza umaarufu wa babake ex-waziri Opotunitiz zimemfungukia.... usicheze na HOLLYWOOD !! wakupandishe juu au wakutupilie mbali chini !!kumbe siko peke yangu
yani mi naonaga she is exaggerated kuna watoto wakali weusi hadi unasema yeees lord
Na wewe ni ndugu yake nini?
hapo na kubali and ana charisma plus shule kaenda but haya ya kumfanya kama statue of liberty kwenye urembo badoo..wajua lupita k. Ni very hard working gal, na usa ukiwa huko uchapaji kazi hupata rewards zako, ukiongeza umaarufu wa babake ex-waziri opotunitiz zimemfungukia.... Usicheze na hollywood !! Wakupandishe juu au wakutupilie mbali chini !!
Wish you tracy tukusikie huko!
THINK BIG ! umesema..... ukifika huko just call n say hii!:wave:hapo na kubali and ana charisma plus shule kaenda but haya ya kumfanya kama statue of liberty kwenye urembo badoo..
Let me dream and work big then amen to that,wishing you the same
sauti inakua na mikwaluzo raha tupu
yaaaaaaaaapKama halima mdee sio??
haya bwanaNimefurahi tu hahaha
na wao ni watu na wana hobbie zao so siwezi kuwafata nasikiliza sana nafsi yangu.Me swali langu ni hili.....Mbona wale wanaume ambao unakuta watu wanashauku ya kuwa karibu nao...WALE WANAUME WAKUU Mfano WAKUU WA NCHI, Wenye MIVOGI NK Woote wanavuta ndani vitu vyeupe? Kulikoni?
Mfano: Mzee Mengi
Rais. JK
Viongozi karibu wote wa serikali cheki watoto walionao
Cheki wakuu wengi...WHY WHY WHY ??