Mndengereko
JF-Expert Member
- Mar 24, 2011
- 7,319
- 3,432
kwani hujaonaga wenye sauti nyororo wakifika hapo sauti zinakuwa nzito wakati wenye nzito wakifikia hapo zinakuwa sauti za kwanza kama celine dion
sio lazima kwenye match tu,hata kwenye majadiliano ya kawaida tu mwamke akiwa na sauti laini inakuwa poa zaidi na inaleta raha yake.