Navutiwa sana na mwanamke mweusi

Navutiwa sana na mwanamke mweusi

weusi ndio mpango mzima nashangaa watu wanashoboka na rangi zingine.baja la mweusi linang'aa.kikubwa usafi tu.hata uwezekana wa kuzaa chotara ni mdogo

Kweli kabisa weusi ndio mpango wa mjini....wamekaa kikazi zaidi....

mweusi.jpgugly black.jpgugly black 3.jpg
 
Anayevuma Lupita Nyong'o, kumbe Chausiku wangu naye yumo.
 
Back
Top Bottom