Navutiwa sana na mwanamke mweusi

Navutiwa sana na mwanamke mweusi

KabisaaaaOTE=jembe afrika;8853731]Wakuu mimi napenda sana wadada weusi yaan nikiwaona huwa nachanganyikiwa na sababu zinazonichanganya ni
1.Ni wa mooooto

2.Rangi yao hainunuliwi dukani kama weupe

3.Hachakai haraka

4.Halafu akiwa na kibesi au sauti nzito kidogo ananiua kabisa

kwa ujumla wadada wa aina hii huwa nawapa kipaumbele sana machoni pangu au mnasemaje?
always black is beauty......

tarou+mrembono1.jpg
[/QUOTE]
 
Haina ubishi kitu ng'ada nahisi mapigo ya moyo yanaenda speed mbaya kwa mweusi haunitoi ng'o!!!!!!!
 
Wakuu mimi napenda sana wadada weusi yaan nikiwaona huwa nachanganyikiwa na sababu zinazonichanganya ni
1.Ni wa mooooto

2.Rangi yao hainunuliwi dukani kama weupe

3.Hachakai haraka

4.Halafu akiwa na kibesi au sauti nzito kidogo ananiua kabisa

kwa ujumla wadada wa aina hii huwa nawapa kipaumbele sana machoni pangu au mnasemaje?
always black is beauty......

tarou+mrembono1.jpg

itabidi nianze mazoezi ya kibesi ili nitimize vigezo
 
Wakuu mimi napenda sana wadada weusi yaan nikiwaona huwa nachanganyikiwa na sababu zinazonichanganya ni
1.Ni wa mooooto

2.Rangi yao hainunuliwi dukani kama weupe

3.Hachakai haraka

4.Halafu akiwa na kibesi au sauti nzito kidogo ananiua kabisa

kwa ujumla wadada wa aina hii huwa nawapa kipaumbele sana machoni pangu au mnasemaje?
always black is beauty......

tarou+mrembono1.jpg

Black is always beauty,
 
Back
Top Bottom