Navutiwa sana na mwanamke mweusi

Navutiwa sana na mwanamke mweusi

Ila tukumbuke kila mmoja anatest yake, mwingine anapenda kunywa chai ya maziwa mwingine anapenda kunywa Chai ya rangi. So kwa hapo mmmhh me sicomment saana. Yaliyopo ktk Jamii yetu yanajieleza wazi


Wakuu mimi napenda sana wadada weusi yaan nikiwaona huwa nachanganyikiwa na sababu zinazonichanganya ni
1.Ni wa mooooto

2.Rangi yao hainunuliwi dukani kama weupe

3.Hachakai haraka

4.Halafu akiwa na kibesi au sauti nzito kidogo ananiua kabisa

kwa ujumla wadada wa aina hii huwa nawapa kipaumbele sana machoni pangu au mnasemaje?
always black is beauty......

tarou+mrembono1.jpg
 
Kweli kuna walio weusi ukiwaangalia dahhh wazurii, ila wengine weusi wao haungaiii.. !!!
Mfano Wasomali wakiwa weusi looohhh utawapenda wanaweusi mzuri hasa...

Tuseme kila mmoja anatest yake...Nilichokigundua ni kwamba Wanaume weusi wanapenda weupe mfano watu wa Kanda ya ziwa na wasukuma Wengi wanapenda Wanawake weupe...Na wanaume weupe wanapenda wanawake weusi...

Km ilivyo wazungu wanapenda weusi, na sisi waafrica tunapenda wazungu au Machotara......Mambo ni kumix.....



Huo weusi wa mng'ao hatari sana.
 
Me swali langu ni hili.....Mbona wale wanaume ambao unakuta watu wanashauku ya kuwa karibu nao...WALE WANAUME WAKUU Mfano WAKUU WA NCHI, Wenye MIVOGI NK Woote wanavuta ndani vitu vyeupe? Kulikoni?

Mfano: Mzee Mengi
Rais. JK
Viongozi karibu wote wa serikali cheki watoto walionao
Cheki wakuu wengi...WHY WHY WHY ??


Wakuu mimi napenda sana wadada weusi yaan nikiwaona huwa nachanganyikiwa na sababu zinazonichanganya ni
1.Ni wa mooooto

2.Rangi yao hainunuliwi dukani kama weupe

3.Hachakai haraka

4.Halafu akiwa na kibesi au sauti nzito kidogo ananiua kabisa

kwa ujumla wadada wa aina hii huwa nawapa kipaumbele sana machoni pangu au mnasemaje?
always black is beauty......

tarou+mrembono1.jpg
 
Mweeeeeeeeeh sie wa sitimbi! Lakini muweka picha@Tyta hajatenda haki unajua u black wa wanawake wengi wa kibongo haupo hivyo! Afu sie wenye pimpoz mmetusahau jamani! Naona nyuso soft tu hapo!

hii mada bado inasonga????.....
 
hii mada bado inasonga????.....

Yaaaaah bado ipo bora umekuja mwenyeweeeeee! Ndo unijibu kwanini mwatu isolate siye wenye pimpoz mwaeka wenye nyuso soft, wakati kati ya mia wa hivyo ni ishirini tu!!!!
 
Back
Top Bottom