Navutiwa sana na mwanamke mweusi

Navutiwa sana na mwanamke mweusi

....Na vitabu vyao vina "makava" meusi ila mwanangu jaribu kufunua usome, karatasi zao ni nyekunduuuu....hadi raha kusoma vitabu vyao!!!

Kweli umenena; pia vya motoooooooooooooooo
 
Wengine wanapenda weupe!!!!!!
Weusi kama wa Lupita Nyong'o
 
wakuu mimi napenda sana wadada weusi yaan nikiwaona huwa nachanganyikiwa na sababu zinazonichanganya ni
1.ni wa mooooto
2.rangi yao hainunuliwi dukani kama weupe
3.hachakai haraka
4.halafu akiwa na kibesi au sauti nzito kidogo ananiua kabisa
kwa ujmla wadada wa aina hii huwa nawapa kipaumbele sana machoni pangu au mnasemaje?
always black is beautyyyyyyyyy......................................
Una maana wanawake wa kiafrika weupe ni wa baridi?
 
Beauty1.jpg
tumblr_m5b8o3HmK91qk3mz6o1_500.jpg

Viva #TeamWekaPicha .....
 
tayta weka Lupitaa
Chezea rangi ya mtumee halaf hao wameng'arishwa na makeup hebu zile original wachache sana wenye weusi mzuri wa kung'aaaa
 
Last edited by a moderator:
Kweli "beauty is in the eye of the beholder" na kibesi kinapata nafasi?
 
Back
Top Bottom