Tyta
JF-Expert Member
- May 21, 2011
- 12,767
- 10,539
Sasa huyu na hiyo mirangi rangi kwenye macho na lips kawa kama magari ya mashindano ya formula one.
cc:Heaven on Earth
Sasa huyu na hiyo mirangi rangi kwenye macho na lips kawa kama magari ya mashindano ya formula one.
Wakuu mimi napenda sana wadada weusi yaan nikiwaona huwa nachanganyikiwa na sababu zinazonichanganya ni
1.Ni wa mooooto
Hivi kumbe joto wanalo weusi tuuu? nilikuwa sijui aiseemie nimejipiga mkorogo wa nguvu kwan utanijua kama ni mweusi tii!!!
nakufahamu jamani
Hivi kumbe joto wanalo weusi tuuu? nilikuwa sijui aisee
chenga tu hapa wala sijaelewa. labda ungenikumbushaNilikuelewa sana kuna siku uliposema mtu bora hata ushinde JF
Kuna watu walikupinga, umeona sasa?
We kweli mkali
watamuuzia nani na hizo sura zao za kazi
....Na vitabu vyao vina "makava" meusi ila mwanangu jaribu kufunua usome, karatasi zao ni nyekunduuuu....hadi raha kusoma vitabu vyao!!!
Wakuu mimi napenda sana wadada weusi yaan nikiwaona huwa nachanganyikiwa na sababu zinazonichanganya ni
1.Ni wa mooooto
2.Rangi yao hainunuliwi dukani kama weupe
3.Hachakai haraka
4.Halafu akiwa na kibesi au sauti nzito kidogo ananiua kabisa
kwa ujumla wadada wa aina hii huwa nawapa kipaumbele sana machoni pangu au mnasemaje?
always black is beauty......
Ni wewe huyu??!!!!?
Black is beauty