jembe afrika
JF-Expert Member
- Jan 15, 2014
- 7,602
- 3,783
- Thread starter
- #161
duh... mkuu kibesi tena?
kama kile cha oprah winfrey ama?
afu kama vile naona unakimbia gharama za urembo eenh? hahaaa!!
kwa hiyo wenye vibesi hawana gharama?
duh... mkuu kibesi tena?
kama kile cha oprah winfrey ama?
afu kama vile naona unakimbia gharama za urembo eenh? hahaaa!!
wazuri ni wengi lakini kumpata ,mwenye mapenzi ya kweli ndio balaaaa!!
utapigwa wewe na nduki zakoMtuache tupumue,kila mtu na choice yke,wanaume wengi wanazuzuka na weupe,thats y wadada weusi wengi hawaishi kujikoboa!weupe dili heheheiyaaaaaa!mi ndukiiiiiiiiiiiiiiiii!
kwa hiyo wenye vibesi hawana gharama?
kwani mi nimesema vibesi havina gharama? nimekutolea mfano wa OPW wa OWS!
kule bwana tatizo lao kubwa ni kutembea na nyumba ndogo zao lakin wake zao ni ruksa mkuu wala usihofuhuko si nitaapigwa panga?
mkuu huwa nikienda tarime huwa najifungia tu amazon lodge sitaki sharikule bwana tatizo lao kubwa ni kutembea na nyumba ndogo zao lakin wake zao ni ruksa mkuu wala usihofu
tena afadhari na yule kenonke kufa.nasikia siku hizi na uko kuna wauzaji wa ile huduma ya usikumkuu huwa nikienda tarime huwa najifungia tu amazon lodge sitaki shari
watamuuzia nani na hizo sura zao za kazitena afadhari na yule kenonke kufa.nasikia siku hizi na uko kuna wauzaji wa ile huduma ya usiku
wakuu mimi napenda sana wadada weusi yaan nikiwaona huwa nachanganyikiwa na sababu zinazonichanganya ni
1.ni wa mooooto
2.rangi yao hainunuliwi dukani kama weupe
3.hachakai haraka
4.halafu akiwa na kibesi au sauti nzito kidogo ananiua kabisa
kwa ujmla wadada wa aina hii huwa nawapa kipaumbele sana machoni pangu au mnasemaje?
always black is beautyyyyyyyyy......................................
mhhhh kashersheee
yah,black iz beauty!!!..
kweli kabaisa
i love my colour!!.am a true African Queen
unafaa kabisa
umeona eh!
ndio tena ukiwa mweusi maksi zinaongezeka
weeeh!!