mie nauza eka mia moja mkuranga kimanzi chana @ laki tano per eka
mie nauza eka mia moja mkuranga kimanzi chana @ laki tano per eka
pale pale kwa mtendaji unavuka barabara kubwa bwawa jamaa wa gesi walipita wakachimbachimba na kuondokaUpande upi pale Kimanzi? Je kama unaelekea Mkelezange au upande wa Kilimahewa au kule walikodanganya kwamba wanataka kujenga makao makuu ya wilaya.
pale pale kwa mtendaji unavuka barabara kubwa bwawa jamaa wa gesi walipita wakachimbachimba na kuondoka
its about 1KM from the main road........... jirani na wale wazee wa TRA group
Bei hiyo kwa nusu eka ambapo ni shamba too expensive, kwa sabau nusu eka ni kipimo cha kiwanja cha kujenga nyumba yenye msongamano wa midiume density, sasa kwa anayetaka shamba kubwa mamilioni mangapi yatamtoka.
Jaribu kuwa na biashara ya kiwango chenye uendana na hali halisi ya biashara za mashamba. Huko huko napata shamba la eka 10 chini ya bei yako ya nunu eka. Labda mgeni asiyejua atahamasika.
unajua inategemea how potential is ua place? Kama hukubaliani na bei wenzako wanapakimbilia na ninachokwambia tayari zimeuzwa eka 4 upo hapo?
Wanapakimbilia sio kwa sababu wanataka kufanya shughuli za shamba bali ni kufanya makazi, kwa sasa Dsm huwezi kupata shamba, ni viwanja. Kwa ukubwa wa nusu eka haliwezi kuwa shamba, itakuwa bustani.
Kama ni kiwanja nakubaliana na wewe, kama ni shamba,nina wasiwasi, hapo chini kidogo Mkuranga, eka kumi unapata kwa milioni 4.
MTM kimanzichana pamekaa vizuri kwa kilimo cha muhogo. ngoja nijifikirie then nitakuPM nione kama tunaweza kufanya biashara. Au kwa sababu utaleta trekta basi itabidi unikodishe nilime muhogo kidogo. hopefully tutaelewana!!
je kuna misitu au ni majani tupu?
Nyoosha maelezo,funcity na mwembe mtengu ni sehemu mbili tofauti kituo between kinaitwa kwa fundi baskeli(kwa pinda),sasa kipo maeneo gani na hapo?