SOLD: Nauza mradi wa kilimo eka 105 bei ya kutupa

Status
Not open for further replies.

MASTERCHIEF 255

JF-Expert Member
Sep 26, 2014
425
859
NAUZA MRADI WANGU WA SHAMBA EKA 105 KWA MILIONI 135

Ningependa kuchukua nafasi hii kutangaza kuuza shamba langu lenye ukubwa wa eka 105 lililopo kijiji cha lutukila katika wilaya ya madaba mkoa wa Ruvuma.

Shamba hili lina hati miliki kabisa zenye jina langu na wala si mali ya ukoo au kijiji.
Kutoka barabara ya barabara ya njombe - songea shamba lipo km 1 tu kutoka barabara kuu.
Shamba hili nimelipata kwa kununua eka 50 kwa mara ya kwanza kisha nikanunua eka 25 halafu nikamalizia na eka 30 jumla inakuwa ni eka 105 (zote zipo eneo moja na ninauza lote kwa ujumla) na zote zina hati miliki.

UWEKEZAJI NILIOUFANYA KATIKA MRADI HUU

Tayari kuna ghala lenye kuweza kuhifadhi tani 300 za chakula, kuna nyumba ya wafanyakazi ambayo nimeshaiombea umeme pia katika eka hizo 105 nimepanda mikorosho eka 20 ambayo ina miaka miwili mpaka sasa. Kuna kisima cha maji pia hapo hapo kwenye hilo shamba.

Pia kuna bonde ambalo unaweza kulimia mpunga lenye ukubwa wa eka kama 6 hivi.Kuna miti ya mitiki ukubwa wa eka 5.

Yeyote mwenye nia ya kuwekeza katika mradi wa kilimo shamba hili linamfaaa kabisa

KWANINI NAUZA?

Nimepata shida katika mradi wangu mwingine wa kilimo kwa maana hiyo nahitaji kiasi hiki cha pesa japo ni bei ya kutupa ila itanisaidia kutatua matatizo yangu yaliyopo kwenye mradi huo mwingine.
NB: Shamba hili linatambulika na halmashauri ya wilaya ya madaba kuwa mimi ndio mmiliki na halina migogoro yoyote na wala HALIJAWAHI KUKOPEWA HELA BENKI.

Mtu yoyote anayehitaji kujiridhisha umiliki wa hili shamba anaweza kufika halmashauri ya wilaya ya madaba ambayo shamba lilipo na kuhakikishiwa umiliki wangu.

Kwa maelezo zaidi na kuhitaji msaada wowote wa kuhitaji kufika kuona shamba wasiliana katika namba hii 0782780980
 
View attachment 2331474View attachment 2331475View attachment 2331476View attachment 2331477View attachment 2331478View attachment 2331479
Uwekezaji mzuri na bei inatamanisha sana.. Ukiweza ingia bank uchukue mkopo kwa dhamana ya hilohilo shamba
 
Mmmhh🤐🤐🤐
Amesema kua anayo HATI inayotolewa na wizara ya ardhi na kwa maana hiyo hilo eneo LIMEPIMWA , na pia amesema kua hati iko kwa jina lake na uthibitisho ni halmashauri , kama mtu anahitaji hilo eneo aende halmashauri alipie gharama kidogo za mpima ili aende pale na vifaa kuhakiki location then afanye seach pale ardhi ili kujua status ! Mwisho alinganishe jina lililoko NIDA na la hiyo hati, sasa hapo mtu anapigwaje? 😊
 
Nimesema kuna mtu anapigwa?🤷‍♀️🤷‍♀️🤷‍♀️
 
KILA la kheri ndugu Shamba zuri Sana kwa bei ndogo. Hilo ukipanda miti kwa ajili ya mirunda ndani ya miaka 3 pesa inarudi na faida mara tatu. Ukipata pesa una nunua govt bond na zingine unanunua hisa ulaya. Maisha yanasonga
 
Status
Not open for further replies.

Similar Discussions

Back
Top Bottom