nauza shamba nusu eka mil 5

mama cha

Senior Member
Aug 2, 2011
115
9
lipo lugwadu njia ya kwenda kongowe ya kama unaenda mkuranga unashuka mwembe mtengu karibu na fun city hakipitiwi na mradi wa mji mpya kigamboni karibu sana kama upo sereous cal0712769766
 
mie nauza eka mia moja mkuranga kimanzi chana @ laki tano per eka
 
Upande upi pale Kimanzi? Je kama unaelekea Mkelezange au upande wa Kilimahewa au kule walikodanganya kwamba wanataka kujenga makao makuu ya wilaya.
 
Bei hiyo kwa nusu eka ambapo ni shamba too expensive, kwa sabau nusu eka ni kipimo cha kiwanja cha kujenga nyumba yenye msongamano wa midiume density, sasa kwa anayetaka shamba kubwa mamilioni mangapi yatamtoka.

Jaribu kuwa na biashara ya kiwango chenye uendana na hali halisi ya biashara za mashamba. Huko huko napata shamba la eka 10 chini ya bei yako ya nunu eka. Labda mgeni asiyejua atahamasika.
 
Kwa bei ya wewe kuna dalili ya biashra kukukaa kichwani, naweza shawishika, lakini bei ya mtoa mada wala sihitaji hata kushauriana naye maana mh!
 
Upande upi pale Kimanzi? Je kama unaelekea Mkelezange au upande wa Kilimahewa au kule walikodanganya kwamba wanataka kujenga makao makuu ya wilaya.
pale pale kwa mtendaji unavuka barabara kubwa bwawa jamaa wa gesi walipita wakachimbachimba na kuondoka

its about 1KM from the main road........... jirani na wale wazee wa TRA group
 
Ungemalizia na sifa zake,ningekuunganisha na dogo moja anataka shamba, tayari ana trecta na planter. Nipe sifa za shamba lako nikuunganishe na dogo mpige jalamba. Mie nataka nielekee Mkelezange.
 
Bei hiyo kwa nusu eka ambapo ni shamba too expensive, kwa sabau nusu eka ni kipimo cha kiwanja cha kujenga nyumba yenye msongamano wa midiume density, sasa kwa anayetaka shamba kubwa mamilioni mangapi yatamtoka.

Jaribu kuwa na biashara ya kiwango chenye uendana na hali halisi ya biashara za mashamba. Huko huko napata shamba la eka 10 chini ya bei yako ya nunu eka. Labda mgeni asiyejua atahamasika.

unajua inategemea how potential is ua place? Kama hukubaliani na bei wenzako wanapakimbilia na ninachokwambia tayari zimeuzwa eka 4 upo hapo?
 
Wanapakimbilia sio kwa sababu wanataka kufanya shughuli za shamba bali ni kufanya makazi, kwa sasa Dsm huwezi kupata shamba, ni viwanja. Kwa ukubwa wa nusu eka haliwezi kuwa shamba, itakuwa bustani.

Kama ni kiwanja nakubaliana na wewe, kama ni shamba,nina wasiwasi, hapo chini kidogo Mkuranga, eka kumi unapata kwa milioni 4.
 
may be translation c sahihi kwako, mimikwangu lilikua shamba na nauza c kwa ma2mizi ya kulima la hasha ni kwa makazi
 
hilo eneo bado halijafika hiyo bei,kwanza halijawa surveyed.Plan ya manispaa ya Temeke ni kupima maeneo yote ya kibada,mikwambe,eneo la Fun city,Toangoma mpaka kongowe.
pesa wanachukua benki ,wanakupa fidia then unanunua square meter moja kwa elfu 7.hivyo basi Taadhari usinunue eneo ukaja lipwa fidia na serikali kwa muda mfupi ujao.Hilo ni Angalizo Tu.na kwa bei hiyo ya 5Mil. labda liwe ktk Main Road kwa ajili ya maduka au yard ya malori/petrol station.
 
Nyoosha maelezo,funcity na mwembe mtengu ni sehemu mbili tofauti kituo between kinaitwa kwa fundi baskeli(kwa pinda),sasa kipo maeneo gani na hapo?
 
MTM kimanzichana pamekaa vizuri kwa kilimo cha muhogo. ngoja nijifikirie then nitakuPM nione kama tunaweza kufanya biashara. Au kwa sababu utaleta trekta basi itabidi unikodishe nilime muhogo kidogo. hopefully tutaelewana!!
je kuna misitu au ni majani tupu?
 
Mkuu Kanyagio,
Udongo wa Kimanzi ni mzuri sana kwa kilimo,ww kusanya ngawila mara moja muone MTM, nilikuwa huko weekend ile. Na ka umeme kako njiani kanaelekea huko Kimanzi.
 
Back
Top Bottom