Nima Imma
JF-Expert Member
- May 14, 2015
- 2,473
- 3,625
Napenda hili papai mno,, miche yake uko nayo?Calina 69 Miche ninayoView attachment 904079
Napenda hili papai mno,, miche yake uko nayo?Calina 69 Miche ninayoView attachment 904079
Hii calina 69 inachukua muda gani kuanza kuzaa toka ipandwe?Calina 69 Miche ninayoView attachment 904079
Biashara za siku hizi bhana, unauza miche-unatangaza papai zinatakiwa sana(hapa ili wanunua miche waje kwa wingi wakijua kuna soko kubwa) Matunda aina hii yakianza kuiva na kuozea shambani unakuwa mwehu, unaweza kutafuta mtu anunue kwa tshs. 300@ na ukakosa.*PAPAI ZINAHITAJIKA*
*KWA MARA YA NYENGINE MSIMU WA PILI NAHITAJI PAPAI ZILIZOKOMAA ELFU 3000 DAR ES SALAAM*
*NIPIGIE SIMU AU NJOO INBOX USEME PAPAI ZILIPO NA UJE NA BEI YAKO TUZUNGUMZE*
*ONYO* *TAFADHALI SITAKI MBABAISHAJI KAMA HUNA PAPAI USINITAFUTE PESA IPO MFUKO WA SHATI*
*IMETOLEWA NA MKURUGENZI - HAYATE ORGANIC FARMS*
*SIMU 0716 508848*View attachment 917089
Umelima wapi Papai ukakosa soko ?au wewe ndio wale wakulima wa kwenye keyboards.Biashara za siku hizi bhana, unauza miche-unatangaza papai zinatakiwa sana(hapa ili wanunua miche waje kwa wingi wakijua kuna soko kubwa) Matunda aina hii yakianza kuiva na kuozea shambani unakuwa mwehu, unaweza kutafuta mtu anunue kwa tshs. 300@ na ukakosa.
Sihitaji.Sio masihara Faiza Kama kweli unalima .nipigie nikuletee miche bure Tena saa Tisa Nina safari ya kinondoni
Nawafahamisha wengine.Kama uhitaji kwanini unaona ni ghali?
Ili iweje! Ashindwe kuuza? Tuache roho mbaya! Hiyo ni biashara yake mwenyewe so hata maamuzi ya kupanga bei ni yake, hata akitaka mil 20 kwa mche ni yeye! Sababu ni yake mwenyeweNawafahamisha wengine.