Nauza miche ya papai mbegu fupi

Mkuu unauza mbegu?? Mana kama nataka kuweka heka 3/2 za papai nikopiga hesabu ya kununua mche naona hela ndefu balaa
 
*PAPAI ZINAHITAJIKA*

*KWA MARA YA NYENGINE MSIMU WA PILI NAHITAJI PAPAI ZILIZOKOMAA ELFU 3000 DAR ES SALAAM*

*NIPIGIE SIMU AU NJOO INBOX USEME PAPAI ZILIPO NA UJE NA BEI YAKO TUZUNGUMZE*

*ONYO* *TAFADHALI SITAKI MBABAISHAJI KAMA HUNA PAPAI USINITAFUTE PESA IPO MFUKO WA SHATI*

*IMETOLEWA NA MKURUGENZI - HAYATE ORGANIC FARMS*
*SIMU 0716 508848*View attachment 917089
Biashara za siku hizi bhana, unauza miche-unatangaza papai zinatakiwa sana(hapa ili wanunua miche waje kwa wingi wakijua kuna soko kubwa) Matunda aina hii yakianza kuiva na kuozea shambani unakuwa mwehu, unaweza kutafuta mtu anunue kwa tshs. 300@ na ukakosa.
 
Umelima wapi Papai ukakosa soko ?au wewe ndio wale wakulima wa kwenye keyboards.

Nimeweka hilo tangazo kwa kuwa najua wananunua na kuna kiwanda wananunua Papai kwa kilo wapo bagamoyo.
Mkuu kama umekata tamaa ya maisha sisi bado ndio pamekucha!
 
Great things takes time !!! Usiige kwa walioshidwa!
IMG-20180601-WA0015.jpeg
 
Mwaka unaishia huu ,umeotesha mipapai mingapi au miti mingapi 2018??? Au migomba mingapi?
 
There is time to fight n there is time to be clever because money comes when you do what you love an work hard at it
 
Hello everyone,mwaka umeisha ,je umeotesha miti mingapi na mwakani unatarajia kuotesha mingapi?
 
5 Reactions
Reply
Back
Top Bottom