Nauza miche ya papai mbegu fupi

Nauza miche ya papai mbegu fupi

Great things takes time
IMG_20180719_140934_091.jpeg
 
Kumekucha wadau ,Miche bado IPO 0655404226 dsm kiluvya
 
Nikihitaji hiyo miche 15 mpaka Sinza usafiri kiasi gani?
 
Miche IPO na wakati mzuri wa kuotesha ni sasa na sio wakati wa mvua kubwa
 
Shamba LA Papai linatakiwa usafi muda wote
 
Nakutumia pm namba ya jirani yangu anahaji Miche 100 umletee kwa mbonde
 
Jamaa mmoja alinipa miche 5 kama zawadi , baada ya kuota tena kwa afya nzuri yote ni midume . Kuna namna ya kuibadilisha iwe ya kike ? Mzee wa wa kienyeji kaniambia inawezekana ni kweli ?
 
Jamaa mmoja alinipa miche 5 kama zawadi , baada ya kuota tena kwa afya nzuri yote ni midume . Kuna namna ya kuibadilisha iwe ya kike ? Mzee wa wa kienyeji kaniambia inawezekana ni kweli ?
Njoo uchukue mingine 5 kama zawadi hutakuta dume ,hii ni Mbegu chotara mkuu ...angalia namba hapo juu unitembelee shambani utaikuta yote imebeba matunda na ni muda mfupi miezi 8 unavuna matunda
 
Mimi nilinunua yote ni midume tupu. Siwezi kupata msaada maana nipo mbali na wewe ila nauliza nawezaje kujua jike na dume?
 
Mimi nilinunua yote ni midume tupu. Siwezi kupata msaada maana nipo mbali na wewe ila nauliza nawezaje kujua jike na dume?
Nipigie simu baadae
 
Back
Top Bottom