Nauza miche ya papai mbegu fupi

Nauza miche ya papai mbegu fupi

Great things takes time... Don't give up the fight
 
Calina 69 Miche ninayo
IMG-20181015-WA0004.jpeg
 
Leo nimepita soko LA vetnary wananunua Papai flate price 1500 Liwe kubwa au ndogo .wewe unayesema hulimi Papai nakushangaaaaa
 
Asante Mteja wangu wa thamani kwa kuniamini.Upo misugusugu Mlandizi .
Umenitumia pesa kabla hata Miche haijakufikia .
Uaminifu wangu ndio mtaji
 
Ushauri ni bure kwa Njia ya simu .kama unahitaji kuja shambani kwangu uje kwa ajali ya kujifunza live pamoja na kununua miche.
 
*PAPAI ZINAHITAJIKA*

*KWA MARA YA NYENGINE MSIMU WA PILI NAHITAJI PAPAI ZILIZOKOMAA ELFU 3000 DAR ES SALAAM*

*NIPIGIE SIMU AU NJOO INBOX USEME PAPAI ZILIPO NA UJE NA BEI YAKO TUZUNGUMZE*

*ONYO* *TAFADHALI SITAKI MBABAISHAJI KAMA HUNA PAPAI USINITAFUTE PESA IPO MFUKO WA SHATI*

*IMETOLEWA NA MKURUGENZI - HAYATE ORGANIC FARMS*
*SIMU 0716 508848*
IMG-20180923-WA0030.jpeg
 
Ukipata masoko.Kinyume ni hasara mkuu.Kama hujalima utasikia hadithi nyingi
Umeshalima Papai ukakosa soko? Au ni hizo story zenu za kwenye keyboard ya simu
 
Bei ya Miche 2000 unakula baada ya miezi 7/8 inadumu miaka 3 .ni matunzo tu maji na Mbolea ,palizi ....Papai hazinaga makuuu
 
Back
Top Bottom