Nauza miche ya papai mbegu fupi

Marire

JF-Expert Member
Joined
May 1, 2012
Messages
11,952
Points
2,000

Marire

JF-Expert Member
Joined May 1, 2012
11,952 2,000
Heshima kwenu.
Kutokana na malalamiko ya bei nimeamua kupunguza bei toka sh 3000 hhadi 2000 Mche ila nitauza kuanzia Miche 15
Nimeamua hivyo ili kila mmoja wetu aoteshe mipapai tuweza kukuza kipato na hii bei maalumu kwa wana jf.
Kwa atakayechukua kuanzia miche 100 kuna nyongeza ya Miche.

Kama utaweka oda na ukalipia advance bei itapungua zaidi.
Kama huna kabisa pesa na unataka kuotesha miche kila mwezi nitatoa sadaka ya miche (vigezo)
Unaweza kuja shambani kujionea mipapai inavyozaa vizuri

Napatikana kiluvya gogoni (Jirani na mail I moja)
0755404226 what's up
0655404226
1.5kilometa toka lami


NB:ukinunua miche kwangu na ikaenda kufa kwa bahati mbaya utapiga picha utatuma whatsup then nitakupatia mingine bureee hadi miche 15 ...ushidwe wewe tu sasa !!!
 

MVB Jr

JF-Expert Member
Joined
Sep 16, 2016
Messages
368
Points
1,000

MVB Jr

JF-Expert Member
Joined Sep 16, 2016
368 1,000
Heri ya mwaka na wewe pia..!

Nje ya miche, ningependa kujua kama naweza kupata mbegu, kwa bei gani? Zinakuwa kiasi gani..?

Bila kusahau ikishakua kila mti una uwezo wa kutoa mapapai mangapi mpaka unazeeka..?

Ni mbegu za kawaida au hybrid..?
 

MVB Jr

JF-Expert Member
Joined
Sep 16, 2016
Messages
368
Points
1,000

MVB Jr

JF-Expert Member
Joined Sep 16, 2016
368 1,000
Sorry,hivi miche midogo unaweza kweli kugundua upi jike au dume?mana kwa bei hiyo afu ukutane na mipapai dume loh
Hapa ujike au udume wa mpapai unategemeana na aina ya mbegu, either ni mbegu za kawaida(local) au mbegu chotara(hybrid).

Kwa mbegu za kawaida, ni ngumu kutambua jinsia kwa sababu ya mchanganyiko wa mbegu kiume, kike, na bisexual, tofauti na mbegu chotara ambazo hazina mbegu za kiume.

Mpaka hapo mtoa mada atusaidie ni miche iliyotokana na mbegu za aina gani..?
 

Marire

JF-Expert Member
Joined
May 1, 2012
Messages
11,952
Points
2,000

Marire

JF-Expert Member
Joined May 1, 2012
11,952 2,000
Wakuu Mbegu ni hybrid a F1 picha sitoweza kuweka simu inasumbua .ila kama wewe ni mkulima kweli njoo uone live hshambani maana nimeotesha mipapai 60 na hakuna jike.
Shamba ni kilometa moja tu toka lami ya kwenda morogoro kituo ni kiluvya gogoni
 

MVB Jr

JF-Expert Member
Joined
Sep 16, 2016
Messages
368
Points
1,000

MVB Jr

JF-Expert Member
Joined Sep 16, 2016
368 1,000
  1. Piga simu 0655404226 sio Mara zote nakuwa na simu inasumbua na inapoteza muda Wa kazi
Mkuu kuja shambani haina neno...! Binafsi niko interested na mbegu zaidi. So ningependa kujua Kama mbegu zipo, kwa bei gani na uzaaji wake ukoje..?? Nikipata hizo info kuja sishindwi..!!
 

Marire

JF-Expert Member
Joined
May 1, 2012
Messages
11,952
Points
2,000

Marire

JF-Expert Member
Joined May 1, 2012
11,952 2,000
Mipapai Yangu IPO stage hiyo hapo unaweza kuja na ukajifunza jambo .Mche hadi Mche ni mita 2 Hata kama una eneo dogo unaweza kuotesha mipapai mingi.
 

Forum statistics

Threads 1,344,581
Members 515,942
Posts 32,827,656
Top