Akasome power of negotiating and bargainingKwenye biashara usitangaze shida zako, maana unajiweka upande dhaifu kwenye negotiation. Mtu atatumia huo kama mwanya akijua upo desperated hata hela ndogo utachukua tu. Kama kwenye tangazo lako hakukua na ulazima wa kuambatanisha shida zako.
OkKwenye biashara usitangaze shida zako, maana unajiweka upande dhaifu kwenye negotiation. Mtu atatumia huo kama mwanya akijua upo desperated hata hela ndogo utachukua tu. Kama kwenye tangazo lako hakukua na ulazima wa kuambatanisha shida zako.
SawaWewe hata uuze uhonge ziishe ni yako, uamue ulipie mtoto au mke wako shulen ni yako, uamue unywe zote ziishe ni yako, uamue pesa utoe yote sadaka hakuna atakae kuzuia. Kusema ni ili upate mtaji hutapata mteja wa maana coz mteja atawaza kuwa akiinunua hela yake ikutajirishe wewe faida yake ni ipi?