Naumia kumuona mtoto wangu

Naumia kumuona mtoto wangu

Mi nakushauri tafuta wazee wenye hekima wakazungumze na huyo baba. Kama mnasali wote tumia hata wazee wa kanisa wenye hekima. Hata kama ungekuwa huumii bado ungetakiwa kuweka wazi hilo suala ili uwe huru....

Mimi nilidhani zile filam za kinigeria zimeongezwa chumvi kumbe hii hutokea kweli! Utamdai vipi mtoto ni wako wakati mwanamke ameolewa na mume mwengine na mtoto amezaliwa ndani ya ndoa hiyo?

Tafakari kwa makini kwani hapo ina maana utaharibu ndoa yako na ya huyo mwenzako.

Na huyo mtoto utampeleka wapi, jee huyo mke wako kweli atakubali kumlea huyo mtoto?
 
Wewe sasa umeshaokoka, uhitaji kuwa na huzuni wewe kuwa mtu wa furaha muda wote, mwachie aliepewa mtoto aendelee kulea, wewe kunjua nafsi yako endelea na maisha yako
 
Kama mnahitaj kuacha watoto yatima anzane huo mtangane ... waache watoto waishi as long as wako happy na pia mtawaafect watoto waachen bwana
 
Yaani unamtomba mke wangu hadi mnawekeana ukumbusho wa mtoto? Tena unajiita mlokole? Haki ya nani lazima nitatumia mafunzo yangu ya ujasusi niwafanye kitu mbaya. Mimi sina ushauri kwa mshenzi kama wewe. Kama ni mimi nikishajua nawachinja wote wewe na mke wangu. Nitanunua watu hata kwa gharama yoyote niwapoteze familia yako. Kisha huyo mtoto wa kike uliyemzalia mke wangu atabakia maana hana hatia. Kama hutaki haya yakutokee ushia hapo hapo usimweleze hata mtu. Ila ukishaanzisha hizo harakati zako ujue mwisho wako umefika. Kama siyo kifo ni hicho kimboo lazima kikatwe. Eti mlokole mtomba wake za watu. Kuna umuhimu wa wanawake kujielewa. Ukimpa mtu ---- hakikisha hakupi
Mimba maana lazima itajulikana tu. Na siku ikujilikana tu umekwisha. Utajuta kumfahamu huyo hawara. Utaomba kujizika mwenyewe.

Eeh....umemmaliza hadi aibu mwanawane
 
avatar52091_4.gif

Nimeona nianze na picha hiyo hapo juu.

Pili, kitanda hakizai haramu.

tatu, hujui maana ya kuokoka. Kama kweli uli..ungemuambia mkeo uliyofanya na hasa kuhusu huyo mtoto.

nne, somethings are better left unsaid.

tano, kama ni mimi...yani kwa mfano tu...mfano yani...umento.mbea mai waifu...halafu unakuja kuniambia mtoto wangu wa kike ni wako kuwa na uhakika na hili, SHOKA LITAKUHUSU! Ukitaka sanaaaa muambie mai waifu aje yeye anieleze huo upuuzi wenu..ukija mwenyewe WALAI....refer picha ya hapo juu!

sita, endelea kulea wanao acha upuuzi!

saba, wewe ni mjinga sana..

nane, tena huna akili!

tisa, nenda kaokoke upya

mwisho, ngoja niondoke hapa kuepusha ban!

Teheeeeeee kaka umeniua mbavu na bullet. Mkuu rahisi zaidi kutumia bomu sikuhizi lol
 
Wiyelele bwana asifiwe....
mkeo anajua kama ulizaa na mtu mwingine, ukiwa una ndoa?

Evelyn , swali zuri umemuuliza huyu jamaa anayesema ameokoka. Kwani wokovu wake haujakamilika hadi atakapotubu na kuwa mkweli kwa mkewe kuwa anamtoto ama amezaa na mke wa mtu. Hapo ndio tutaamini kuwa ameokoka .
 
Last edited by a moderator:
avatar52091_4.gif

Nimeona nianze na picha hiyo hapo juu.

Pili, kitanda hakizai haramu.

tatu, hujui maana ya kuokoka. Kama kweli uli..ungemuambia mkeo uliyofanya na hasa kuhusu huyo mtoto.

nne, somethings are better left unsaid.

tano, kama ni mimi...yani kwa mfano tu...mfano yani...umento.mbea mai waifu...halafu unakuja kuniambia mtoto wangu wa kike ni wako kuwa na uhakika na hili, SHOKA LITAKUHUSU! Ukitaka sanaaaa muambie mai waifu aje yeye anieleze huo upuuzi wenu..ukija mwenyewe WALAI....refer picha ya hapo juu!

sita, endelea kulea wanao acha upuuzi!

saba, wewe ni mjinga sana..

nane, tena huna akili!

tisa, nenda kaokoke upya

mwisho, ngoja niondoke hapa kuepusha ban!

Teh teh tehhh,inafurahisha,jf raha tupu.
 
Wakuu huyu jamaa ameokoka vipi wakati bado roho ya dhuluma inamfuata? Mimi hapo sioni kama ishu ni mtoto . Kilicho hapo ni roho yake inamsuta. Roho huwa inasuta na kumkondesha mtu vibaya sana. Umelikoroga linywe.
 
Evelyn , swali zuri umemuuliza huyu jamaa anayesema ameokoka. Kwani wokovu wake haujakamilika hadi atakapotubu na kuwa mkweli kwa mkewe kuwa anamtoto ama amezaa na mke wa mtu. Hapo ndio tutaamini kuwa ameokoka .
Naona katosa kujibu hilo swali.....
 
Back
Top Bottom