utakua na nia ya kumvunjia ndoa dada wa watu et??koz ww mkei atakusamehe koz ndvyo tulivyoumbwa wanawake tuna hrm nyng bt uyo mme wa uyo mdada cdhan km ataelewa ht kdg tn atahis ht na wale wengn co wake sasa uone km ni tatizo unataka kuleta km uliamua azaliwe kule bad muache kule kule uyo mtt
Hv ingekua ww mkeo akwambie ao wtt co wako ungejskiaje na sku unamwona baba yao anakuja kuwachukua wkt ww ndo ulikua unalea na kuamin km ni wk??
Uzur umeokoka bas usilopenda kufanyiwa kamwe usimfanyie mwenzio
waswahil usema bustan ya mchicha ht likiota tembele ni la mwenye bustan yk ya mchicha so uyo mtt ni wa uko uko na wako ni kiroho koz ww ndo unajua
FUNGA MDOMO WAKO...
Ndugu zanguni wana JF, natumaini nyote ni wazima wa afya!
Juzi, nilikua na maongezi ya muda mrefu na mfanyakazi mwenzangu. Katika maongezi, nikagundua kwamba yeye, kama nilivyo mimi, anaumia sana. Aliponieleza shida yake, nilimwambia wazi kwamba nami nateseka na mawazo kama wewe. Hivyo nikashindwa kumpa ushauri maana tatizo lake linafanana na langu. Mawazo yenu yatasaidia nijue la kufanya, na yeye akiyasoma atapata uamuzi afanye nini.
Mimi, kabla sijaokoka nilikua na mahusiano na mke wa mtu. Nilibahatika kuzaa nae mtoto wa kike. Mme wake yupo ila huyu mwanamke tulipendana sana ila hatukubahatika kuoana. Alipoolewa, na hata mimi baada ya kuoa, mahusiano yetu yaliendelea tena vibaya sana. Mwaka juzi mwanzoni tulishauriana tuache maana tulikua tunatenda dhambi ila tuliamua kuwa na mtoto awe ukumbusho wetu. Na kweli tukabahatika kumpata mtoto huyu wa kike.
Kwa huyu bwana, kama ilivyo kwangu, huyu nimtoto wa kike pekee. Ninao watoto wakiume 3. Yeye anao watoto wa kiume wawili na alivyoona huyu amwezaliwa, alimweleza mke wake kwamba wanatosha. Anampenda sana mtoto huyu wa kike.
Sasa mi naumia sana. Siku moja nikiwa na mke na watoto wangu supermarket mmoja ya hapa, niliwaona wao pia wakiwa katika heka heka ya shopping wakiwa na mtoto wangu. Niliumia sana. Sasa nataka nifanye harakati nimchukue mtoto wangu. Nifanyeje jamani nisaidie.
Mfanyakazi mwenzangu yeye alimpa binti wakati anasoma na bila kujua, binti alikua mchumba wa mtu. Alipoolewa aliolewa na ujauzito wa jamaa. Yeye alipata mtoto wa kiume na mme wa huyo mwanamke hajui lolote kwamba analea mtoto wa mwenzake. Na yeye anataka afanye harakati amchukue mtoto wake.
Najutia dhambi niliyoifanya na nimbaya sana. Lakini mtoto wangu namtaka nawaombeni msaada. Nimejutia dhambi hivyo naomba ushauri tu na sio matusi.
Bado haijala kwangu kwa vile bado napigania haki yangu

kama vp jitoe ufahamu uanzishe segere matata la kupima DNA,issue ni kwamba majibu yakatae kuwa mtoto si wako
hapo ndo utajua maana ya ulimwengu shujaa
mbaya zaidi na kwa mkeo DNA ipimwe majibu pia yaoneshe watoto si wako
hapo ndo utakuwa na nidhamu ya kumwogopa Mungu na kuacha kutangaza Ati we mlokole then unatembea na mke wa mtu:embarrassed:
mkuu ni haki yako,but haki katika kuchepuka!una situation ngumu mkuuBado haijala kwangu kwa vile bado napigania haki yangu
je unaweza kupanda mbegu kwenye shamba la mtu halafu wakati wa mavuno ukadai kuwa ni yako?
Tafakari! Chukua hatua.