Naumia kumuona mtoto wangu

Naumia kumuona mtoto wangu

Sema unataka kuvunja ndoa ya huyo mwanamke.. Akiwa mke wangu alafu nikagundua hilo namuacha huyo mwanamke ila nafanya jambo lingine la kuwafanya msinisahau.

Maana mnakua mmenipotezea vitu ambavyo siwezi kuvirecover,time and resources,naweza recover resources but not time,nguvu,upendo,usumbufu. Kwa kweli siwaachi hivi hivi.

DNA si zipo kama hatokubali?
 
mkuu hebu tuanzie hapo kwenye hayo maneno yako,
1.mtoto alie katika ndoa/familia ya mtu mwingine unamuita ndo mtoto wako wa kike pekee,je ushawahi kujiuliza utasababisha matatizo kiasi gani katika familia hiyo endapo baba wa hiyo familia atagundua mtoto siyo wake!!!?
2.Je ushajiuliza hao watoto watatu wakiume unaosema ni wako,endapo akitokea mtu na kudai ni wa kwake na mkeo akathibitisha hilo,wewe utachukua uamuzi gani!!!?

Ukinijibu nitarudi kwa ushauri

Kwanza, mi nimeokoka, nilikua mtumwa wa dhambi ila nazijutia. Iwapo yeyote atatokea nae kuja kudai mtoto wake katika watoto wangu na akija na vidhibitisho, na mke wangu akakubali, nitamsamehe na mi na mke wangu tutasonga mbele na kuanza maisha mapya katika Kristo.
 
Sometimes, some things are better left untold. Sijui mlikuwa mnawaza nini hadi mkaamua mzae mtoto while both of u are married. Umeshawaza madhara yatakayotokea kwenu, kwa ndoa zenu na watoto wenu? Aisee endelea tu kuumia na hiyo siri yako. Unavuna ulichopanda
 
Jamani,uyo mwanaumee mwenzio atamuua huyo mtoto akijua si wake soo ni heri uendelee kuumis ukiwa unamuona kwa babake mlezi kuliko kutimbwilisha kwa muda ukapewa mtoto alafu akafa puu.
 
Mtu aje anidai mtoto kihivyo, gobore ya risasi ya kuulia tembo lazima ihusike. Kutooombew. kuna uma jamani asikuambie mtu
 
Mi nakushauri tafuta wazee wenye hekima wakazungumze na huyo baba. Kama mnasali wote tumia hata wazee wa kanisa wenye hekima. Hata kama ungekuwa huumii bado ungetakiwa kuweka wazi hilo suala ili uwe huru....
Weeeee ushauri gani? Hujui ndoa zote zitavunjika? Piga mahesabu ni watoto wangapi watakaoteseka ukilinganisha na huyo mmoja. Ni vyema akaacha ikawa siri ya moyoni hadi mtoto awe mtu mzima.
 
Kwanza, mi nimeokoka, nilikua mtumwa wa dhambi ila nazijutia. Iwapo yeyote atatokea nae kuja kudai mtoto wake katika watoto wangu na akija na vidhibitisho, na mke wangu akakubali, nitamsamehe na mi na mke wangu tutasonga mbele na kuanza maisha mapya katika Kristo.
Acha ubinafsi na unafiki ndugu. Jibu ni huwezi period
 
Ndugu zanguni wana JF, natumaini nyote ni wazima wa afya!Juzi, nilikua na maongezi ya muda mrefu na mfanyakazi mwenzangu. Katika maongezi, nikagundua kwamba yeye, kama nilivyo mimi, anaumia sana. Aliponieleza shida yake, nilimwambia wazi kwamba nami nateseka na mawazo kama wewe. Hivyo nikashindwa kumpa ushauri maana tatizo lake linafanana na langu. Mawazo yenu yatasaidia nijue la kufanya, na yeye akiyasoma atapata uamuzi afanye nini.Mimi, kabla sijaokoka nilikua na mahusiano na mke wa mtu. Nilibahatika kuzaa nae mtoto wa kike. Mme wake yupo ila huyu mwanamke tulipendana sana ila hatukubahatika kuoana. Alipoolewa, na hata mimi baada ya kuoa, mahusiano yetu yaliendelea tena vibaya sana. Mwaka juzi mwanzoni tulishauriana tuache maana tulikua tunatenda dhambi ila tuliamua kuwa na mtoto awe ukumbusho wetu. Na kweli tukabahatika kumpata mtoto huyu wa kike.Kwa huyu bwana, kama ilivyo kwangu, huyu nimtoto wa kike pekee. Ninao watoto wakiume 3. Yeye anao watoto wa kiume wawili na alivyoona huyu amwezaliwa, alimweleza mke wake kwamba wanatosha. Anampenda sana mtoto huyu wa kike.Sasa mi naumia sana. Siku moja nikiwa na mke na watoto wangu supermarket mmoja ya hapa, niliwaona wao pia wakiwa katika heka heka ya shopping wakiwa na mtoto wangu. Niliumia sana. Sasa nataka nifanye harakati nimchukue mtoto wangu. Nifanyeje jamani nisaidie.Mfanyakazi mwenzangu yeye alimpa binti wakati anasoma na bila kujua, binti alikua mchumba wa mtu. Alipoolewa aliolewa na ujauzito wa jamaa. Yeye alipata mtoto wa kiume na mme wa huyo mwanamke hajui lolote kwamba analea mtoto wa mwenzake. Na yeye anataka afanye harakati amchukue mtoto wake.Najutia dhambi niliyoifanya na nimbaya sana. Lakini mtoto wangu namtaka nawaombeni msaada. Nimejutia dhambi hivyo naomba ushauri tu na sio matusi.
Hebu wacha hayo, unaumia sawa lakini ungependa huyo mtoto auawe na huyo baba sababu ikiwa ni wewe? huwezi jua mwenzako akijua nn ataamua, anaweza kumuua mkewe kwa hasira, anaweza muacha mkewe juu ya ww, chunga uamuzi wako, wacha mtoto akuwe, kumbuka neno la Mungu linasema yaacheni magugu yakuwe pamoja na ngano, heri uuguwe mpaka ulazwe lkn siyo mtoto asiye na hatia aje kulazwa sababu ni ww, nakuomba chunga sana maneno yako, kwa uslama wa mtoto, na ww pamoja na huyo mwizi mwenzako, tubu sana muombe Mungu akupe amani, juu ya haya utapona, ni shetani anataka kuona kila kitu kina sambaratika hapo home kwako na kwa jamaa, maana ndiye alikuwa referee, na pia coach wa hayo mliyo yafanya lkn leo anataka kuona mlipuko utakuwaje? Nakuomba kama mtumishi wa Mungu aliye hai chunga sn, la sivyo moto wake ni mbaya utajuta kwa nn uliamua hivyo.
 
Yaani unamtomba mke wangu hadi mnawekeana ukumbusho wa mtoto? Tena unajiita mlokole? Haki ya nani lazima nitatumia mafunzo yangu ya ujasusi niwafanye kitu mbaya. Mimi sina ushauri kwa mshenzi kama wewe. Kama ni mimi nikishajua nawachinja wote wewe na mke wangu. Nitanunua watu hata kwa gharama yoyote niwapoteze familia yako. Kisha huyo mtoto wa kike uliyemzalia mke wangu atabakia maana hana hatia. Kama hutaki haya yakutokee ushia hapo hapo usimweleze hata mtu. Ila ukishaanzisha hizo harakati zako ujue mwisho wako umefika. Kama siyo kifo ni hicho kimboo lazima kikatwe. Eti mlokole mtomba wake za watu. Kuna umuhimu wa wanawake kujielewa. Ukimpa mtu ---- hakikisha hakupi
Mimba maana lazima itajulikana tu. Na siku ikujilikana tu umekwisha. Utajuta kumfahamu huyo hawara. Utaomba kujizika mwenyewe.
 
Huiiii ila kuna fituko mweee.napitamo tuu bhajama
 
Hili nalo neno wacheza filamu wa Bongo kina Vicent Kagosi watengenze movie ya uhakika si kila siku wanalipua lipua movie zahovyo.

yaweza kuwa script nzuri kwa movie yangu tarajiwa.
 
Sijui kwa nchi hii (TZ), Lakini any move utakayochukuwa ni Balaa na Majanga !!!! Tafadhali usisababishe masaibu na dizasta zaidi ya dhambi zako ulizo tenda awali. poa mkuu !!
 
Ushauri wangu kwako,baki na hiyo siri milele na nijitahidi kumsahau mawazoni mwako huyo mtoto,wew ridhika na hao uliozaa na mkeo tu,kwani hakuna wazee,watumishi na hata wachungaji watakaoweza kusuluhisha hilo suala yule baba wa huyo mtoto wa kike akakubali kuwasamehe na kukukabidhi huyo mtoto,kutoa hiyo siri ni sawa na kujichimbia kaburi mwenyew na kusubri kuzikwa tu.
 
Hapo we subiria tu hadi bwana atakapomtwaa huyo mume mwenzio ndio hayo unayowaza yatawezekana vinginevyo omba utwaliwe wewe kwanza ili ujiepushe na msongo. Upo hapo?
 
aiseh unatafuta kufumuliwa ubongo wako kwa risasi mxuuuu hovyo eti ninamtaka mwanangu,wakati unaingiza kimbegu chako hukujua mtoto atamilikiwa na mwanamme anayejitambua mxuuuu Ulokole wako huo uishie huko.
 
fanyi ivi iliuchukue mwanao mruhusu jamaa aje amgonge mkee kama wewe ulivyokuwa una mgongea akimtia mimba mkeo sasa mwambie wewe ulimuwahi muda then mchikue mwanao
 
Hapo kuna dhambi mbili; 1.Uzinzi - Ilikuwaje ukazini na mke wa mtu ilhali unajua na unaye wako? 2.Usaliti - Mkeo wa ndoa anayajua hayo uliyofanya na kumsaliti yeye na familia yako? UJUMBE:Kama wewe ukiambiwa watoto unaodhani ni wako kuwa si wa kwako utajisikiaje na utafanyaje? TAFAKARI.
 
Kutubu ni sawa lakini ungekuwa una deal na mtu wa kaliba yangu ningekushauri uanze kuandika wosia !
Ndugu zanguni wana JF, natumaini nyote ni wazima wa afya!

Juzi, nilikua na maongezi ya muda mrefu na mfanyakazi mwenzangu. Katika maongezi, nikagundua kwamba yeye, kama nilivyo mimi, anaumia sana. Aliponieleza shida yake, nilimwambia wazi kwamba nami nateseka na mawazo kama wewe. Hivyo nikashindwa kumpa ushauri maana tatizo lake linafanana na langu. Mawazo yenu yatasaidia nijue la kufanya, na yeye akiyasoma atapata uamuzi afanye nini.

Mimi, kabla sijaokoka nilikua na mahusiano na mke wa mtu. Nilibahatika kuzaa nae mtoto wa kike. Mme wake yupo ila huyu mwanamke tulipendana sana ila hatukubahatika kuoana. Alipoolewa, na hata mimi baada ya kuoa, mahusiano yetu yaliendelea tena vibaya sana. Mwaka juzi mwanzoni tulishauriana tuache maana tulikua tunatenda dhambi ila tuliamua kuwa na mtoto awe ukumbusho wetu. Na kweli tukabahatika kumpata mtoto huyu wa kike.

Kwa huyu bwana, kama ilivyo kwangu, huyu nimtoto wa kike pekee. Ninao watoto wakiume 3. Yeye anao watoto wa kiume wawili na alivyoona huyu amwezaliwa, alimweleza mke wake kwamba wanatosha. Anampenda sana mtoto huyu wa kike.

Sasa mi naumia sana. Siku moja nikiwa na mke na watoto wangu supermarket mmoja ya hapa, niliwaona wao pia wakiwa katika heka heka ya shopping wakiwa na mtoto wangu. Niliumia sana. Sasa nataka nifanye harakati nimchukue mtoto wangu. Nifanyeje jamani nisaidie.

Mfanyakazi mwenzangu yeye alimpa binti wakati anasoma na bila kujua, binti alikua mchumba wa mtu. Alipoolewa aliolewa na ujauzito wa jamaa. Yeye alipata mtoto wa kiume na mme wa huyo mwanamke hajui lolote kwamba analea mtoto wa mwenzake. Na yeye anataka afanye harakati amchukue mtoto wake.

Najutia dhambi niliyoifanya na nimbaya sana. Lakini mtoto wangu namtaka nawaombeni msaada. Nimejutia dhambi hivyo naomba ushauri tu na sio matusi.
 
.....unajiumiza bure, huyo SIO MTOTO WAKO!.

#MosKwito !
 
Back
Top Bottom