Naumia kumuona mtoto wangu

Naumia kumuona mtoto wangu

Wiyelele jihadhari unaweza umia zaidi kwani usishangae ukamchukua then kesho yake hao uwaitao wako wakachukuliwa na baba y/zao! It isn't such simple as u think!!!
 
Last edited by a moderator:
Kwa vile nimeomba ushauri, sitawajibu vibaya wanaonitusi. Nilishasema mwanzo kwamba nilikua namtumikia shetani na sasa mi ni kiumbe mpya. Hivyo mwenye matusi Mungu atakufunua macho kwamba mtu akishatubu anakua mpya na dhambi zake husamehewa.

Ple sana mkuu hebu anza ulizia wanasheria na kama ukipata DNA ya mtoto labda kuna kitu unaweza fanya
 
wanawake wengi wameguswa na umeme na hii thread.........it simply means wengi tumedhulumiwa watoto
 
mambo mengine bwana, hata kuchangia unaona uvivu. akiachwa na mumewe huyo mama utamuoa mke wa pili au ndio utachukua mtot halafu umuache mama wa watu akiteseka wakati wewe una mkeo...???
 
Mmh hii kesi nzito.....hapa ni kuendelea tu kuumia kuliko maafa ambayo utayaleta kwenye ndoa zenu......
 
Unataka kwenda ahera wewe, usifanye mchezo kabisa
 
Jitahidi kuwa na roho ngumu, kubali watoto ulionao ndio wa kwako na huyo mwingine sio wako maana Baba anayeishi naye ndiye anaamini kuwa ni mwanae. Kwanza hata mtoto mwenyewe hana na hatakuwa na upendo wowote na wewe. Usijidanganye, tulia ishi kama wazee wetu walivoishi. Enzi zile utakuta mzee kazaa na jirani lkn inakuwa ni siri hadi kufa.

Damu zito kuliko maji wewe
 
amini amini nawaambia wanawake wa JF wapo wanaume 'hawadhulumiwi watoto' never
atampata tu mwanae
 
Teh teh teh teehhh,nimefurahi sana duuh.

mkuu usicheke,unajua hii dunia watu tunapenda chukulia na kuona mambo magumu kama rahisi sana!!!
mfano huyo jamaa hapo bila aibu anasema "nimetubu nimesamehewa",amesamehewa my f**t
Tena akeshe akisali na kuombea jamaa asijue vinginevyo achague sahv kabisa angependa kuzikwa wapi kati ya Mjini au kijijin kwao kabla jamaa mwenye mke hajamshughulikia
 
where silence can do better dont tell the truth kama wote wangekua wameokoka sawa utavunja ndoa za watu acha upumbafu jinsi unavo umia mwenzio ataumia mala mia just step into the shoes of ur fellow men

Big up maumivu ya mapenzi hayajui ee ee. ..
 
mkuu usicheke,unajua hii dunia watu tunapenda chukulia na kuona mambo magumu kama rahisi sana!!!
mfano huyo jamaa hapo bila aibu anasema "nimetubu nimesamehewa",amesamehewa my f**t
Tena akeshe akisali na kuombea jamaa asijue vinginevyo achague sahv kabisa angependa kuzikwa wapi kati ya Mjini au kijijin kwao kabla jamaa mwenye mke hajamshughulikia

Hilo nalo nenoo…!!!
 
Back
Top Bottom