![]()
Nimeona nianze na picha hiyo hapo juu.
Pili, kitanda hakizai haramu.
tatu, hujui maana ya kuokoka. Kama kweli uli..ungemuambia mkeo uliyofanya na hasa kuhusu huyo mtoto.
nne, somethings are better left unsaid.
tano, kama ni mimi...yani kwa mfano tu...mfano yani...umento.mbea mai waifu...halafu unakuja kuniambia mtoto wangu wa kike ni wako kuwa na uhakika na hili, SHOKA LITAKUHUSU! Ukitaka sanaaaa muambie mai waifu aje yeye anieleze huo upuuzi wenu..ukija mwenyewe WALAI....refer picha ya hapo juu!
sita, endelea kulea wanao acha upuuzi!
saba, wewe ni mjinga sana..
nane, tena huna akili!
tisa, nenda kaokoke upya
mwisho, ngoja niondoke hapa kuepusha ban!
si unasema umeokoka eh!!!,subiri jamaa atakapo kutanguliza peponi sababu ya kuzini na mke wake ndo utapata jua kama umesamehewa dhambi zako
Kwanza ni nani alokuambia umesamehewa hiyo dhambi ulotenda na mke wa mtu!!!?
Siku moja nikiwa na mke na watoto wangu supermarket mmoja ya hapa, niliwaona wao pia wakiwa katika heka heka ya shopping wakiwa na mtoto wangu.
Mkeo anafahamu uwepo wa huyo mtoto?Umesema ukweli, inaonesha linavyoniumiza roho.
Mi nakushauri tafuta wazee wenye hekima wakazungumze na huyo baba. Kama mnasali wote tumia hata wazee wa kanisa wenye hekima. Hata kama ungekuwa huumii bado ungetakiwa kuweka wazi hilo suala ili uwe huru....
Kisa?Huyu mdau alitakiwa apigwe mawe hadi afe.
Yaani unamtomba mke wangu hadi mnawekeana ukumbusho wa mtoto? Tena unajiita mlokole? Haki ya nani lazima nitatumia mafunzo yangu ya ujasusi niwafanye kitu mbaya. Mimi sina ushauri kwa mshenzi kama wewe. Kama ni mimi nikishajua nawachinja wote wewe na mke wangu. Nitanunua watu hata kwa gharama yoyote niwapoteze familia yako. Kisha huyo mtoto wa kike uliyemzalia mke wangu atabakia maana hana hatia. Kama hutaki haya yakutokee ushia hapo hapo usimweleze hata mtu. Ila ukishaanzisha hizo harakati zako ujue mwisho wako umefika. Kama siyo kifo ni hicho kimboo lazima kikatwe. Eti mlokole mtomba wake za watu. Kuna umuhimu wa wanawake kujielewa. Ukimpa mtu ---- hakikisha hakupi
Mimba maana lazima itajulikana tu. Na siku ikujilikana tu umekwisha. Utajuta kumfahamu huyo hawara. Utaomba kujizika mwenyewe.
Teh teh teh!!!
Nafasi zilizobaki ni za waigizaji tu....
Siku hizi napenda sana stori za MMU...
![]()
Nimeona nianze na picha hiyo hapo juu.
tano, kama ni mimi...yani kwa mfano tu...mfano yani...umento.mbea mai waifu...halafu unakuja kuniambia mtoto wangu wa kike ni wako kuwa na uhakika na hili, SHOKA LITAKUHUSU! Ukitaka sanaaaa muambie mai waifu aje yeye anieleze huo upuuzi wenu..ukija mwenyewe WALAI....refer picha ya hapo juu!
sita, endelea kulea wanao acha upuuzi!
saba, wewe ni mjinga sana..
nane, tena huna akili!
tisa, nenda kaokoke upya
mwisho, ngoja niondoke hapa kuepusha ban!